Goli Kali La Zimbwe Jr | Gwambina FC 0-1 Simba SC| VPL 24\04\2021 by @JEMBESPORTS - Post Details
Goli Kali La Zimbwe Jr | Gwambina FC 0-1 Simba SC| VPL 24\04\2021
Goli pekee lililo fungwa nabeki wa kushoto wa Simba SC Muhammed Hussein 'Tshabalala' dhidi ya Gwqambina katika Mchezo wa Ligi kuu nja Kuisaidia Timu yake kupata Pointi Tatu Muhimu.