MSUVA AFUTA MAKOSA "ILIKUWA SIKU NGUMU KUKOSA NAFASI YA WAZI" by @Millard Ayo - Post Details

MSUVA AFUTA MAKOSA "ILIKUWA SIKU NGUMU KUKOSA NAFASI YA WAZI"

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kimerejea alfajiri ya leo kikitokea Cotonou Benin ilikocheza mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Simon Msuva dakika ya 6.

Similar Posts!