Magoli yote ya simba vs namungo | 4 - 0 leo kwa mkapa | 18/07/2019 by @LGTI TV - Post Details

Magoli yote ya simba vs namungo | 4 - 0 leo kwa mkapa | 18/07/2019

mabingwa wa ligi kuu tanzania bara leo simba sport club leo wameitandika namungo fc bao nne kwa sufuli magoli hayo mawili yakifungwa na kris mugalu , moja john bocco, na lingine likifungwa na kagele tufuate https://youtu.be/xLivwBV8G8s https://youtu.be/nyedZioSMBE https://youtu.be/lfv7UPeqySs https://youtu.be/4VJnrFgOrTs