85 | DUUUUDEEEEEEE ikoooooooooooooooo ndani kama inavyostahili amepiga ikabu sherubeti kama missile ya Kim Jun Un ...
Yohana Mbatizaji Mwita amewafunga haraka kuliko mali ya wizi. Tunaongoza kwa bao moja.
Away match between Gor Mahia and Bandari FC played at Nyayo National Stadium.