MASHABIKI WA SIMBA WA PINGANA BAADA YA GAME YA YANGA NA AL HILAL KUMALIZIKA KWA SARE "TUWE WA KWELI" by @Millard Ayo - Post Details

MASHABIKI WA SIMBA WA PINGANA BAADA YA GAME YA YANGA NA AL HILAL KUMALIZIKA KWA SARE "TUWE WA KWELI"

Yanga SC leo wamecheza mchezo wao wa round ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal ya Sudan katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam na kutoka sare 1-1.

Similar Posts!