AHMEDY ALLY: CHAMA AKITAMBULISHWA YANGA JUA SIMBA HAIMUHITAJI!/HAKUNA TIMU ITAWEZA KUMCHUKUA by @Capital Digital - Post Details

AHMEDY ALLY: CHAMA AKITAMBULISHWA YANGA JUA SIMBA HAIMUHITAJI!/HAKUNA TIMU ITAWEZA KUMCHUKUA

Meneja habari na mawasiliano katika timu ya #simbasc amefunguka hatima ya mchezaji wao nyota Clatous Chota Chama ambaye anahusishwa kujiunga na timu ya #yangasc #yanga Meneja wa idara ya habari na mawasiliano Simba @ahmedally amebanwa mbavu na Ripota wetu @hosemchopa kuhusu taarifa za Simba kushindwa kumbakiza Clatous Chama na kukaribia kutangazwa na wapinzani wao klabu ya Yanga. Hoja nzito Simba wameshindwana na Clatous Chama mezani au Simba haikimuhitaji kabisa Chama na hakukuwa na mazungumzo yoyote?

Similar Posts!

MASHABIKI YANGA SC WAMVAA ALLY KAMWE BAADA YA SARE "WALISEMA WATAMCHANGIA CHASAMBI"
MASHABIKI YANGA SC WAMVAA ALLY KAMWE BAADA YA SARE "WALISEMA WATAMCHANGIA CHASAMBI"

MASHABIKI JKT WAMVAA ALLY KAMWE BAADA YA SARE "WALISEMA WATAMCHANGIA CHASAMBI" | KIKO WAPI | SIKIA..



Evan puts aside his sports fan misery to congratulate the Knicks on embarrassing the 76ers:
Evan puts aside his sports fan misery to congratulate the Knicks on embarrassing the 76ers:

Evan has never seen a beatdown like the one New York just handed Philly in a four-game sweep. Subscribe for the latest New ...



Eli White Saves the Game with Insane Wall Catch #shortfeed #sports #baseball
Eli White Saves the Game with Insane Wall Catch #shortfeed #sports #baseball

MLB #Braves #Dodgers #Baseball An unbelievable leap from Eli White steals extra runs from the Los Angeles Dodgers and ...



THE ANT ties the series 🥶🫵🏼
THE ANT ties the series 🥶🫵🏼

NBA EDITS #nba #basketball #sports #minnesotatimberwolves #sanantoniospurs #anthonyedwards #victorwembanyama #edit ...