SHAFFIH DAUDA ACHAMBUA KIWANGO CHA CHAMA BAADA YA KURUDI SIMBA, AMPA KADO MAN OF THE MATCH by @Millard Ayo - Post Details

SHAFFIH DAUDA ACHAMBUA KIWANGO CHA CHAMA BAADA YA KURUDI SIMBA, AMPA KADO MAN OF THE MATCH

Simba SC leo imelazimishwa sare ya 0-0 ugenini dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Manungu Turiani, mchezo huo ni muhimu kwa Simba SC ambao wanakumbukumbu mbaya kutokana na mchezo wao uliopita walipoteza 1-0.

Similar Posts!