RIDHIWANI KIKWETE AMVULIA KOFIA ABDULTWALIB MSHERY "NDIO MAN OF THE MATCH" by @Millard Ayo - Post Details

RIDHIWANI KIKWETE AMVULIA KOFIA ABDULTWALIB MSHERY "NDIO MAN OF THE MATCH"

Yanga SC leo ilikuwa Benjamin Mkapa Stadium kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0, baada ya mchezo tuliongea na kufanya mahojiano na watu mbalimbali.

Similar Posts!