JKU ZANZIBAR 1-1 VIPERS U UGANDA:KAGAME CUP,MAKOCHA WAZUNGUMZA. by @DABOTEN MEDIA - Post Details

JKU ZANZIBAR 1-1 VIPERS U UGANDA:KAGAME CUP,MAKOCHA WAZUNGUMZA.

Mchezo wa ufunguzi kati ya JKU ya Zanzibar na Vipers ya Uganda umemaliza sare ya goli moja kwa moja ndani ya dakika 90 ya mchezo,makocha na makpeteni wa timu zote mbili wamezungumza baada ya mchezo kumalizika.

Similar Posts!