TAMBO ZA DULLA MBABE KUELEKEA PAMBANO LAKE NA TWAHA KIDUKU "YULE SIO BONDIA, ANAPIGWA KAMA NGOMA" by @Millard Ayo - Post Details

TAMBO ZA DULLA MBABE KUELEKEA PAMBANO LAKE NA TWAHA KIDUKU "YULE SIO BONDIA, ANAPIGWA KAMA NGOMA"

Ni kutoka kwenye kambi ya Bondia Dulla Mbabe ambaye amefunguka maandalizi ya pambano lake na Bondia Twaha Kiduku ambalo linatarajiwa kufanyika Ijumaa hii katika Ukimbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam. Bondi huyo akizungumza na Ayo TV & Millardayo.com alisema..."Nimeshajiandaa muda tu tumalize mzizi wa fitina , kwanza lazima crown ibaki katika mkoa wa Dar halafu ndipo itaenda Pwani Kisarawe"_ Dulla Mbabe

Similar Posts!