BONDIA WA ZIMBABWE ALIYEPIGWA ULINGONI AFARIKI DUNIA, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA by @Millard Ayo - Post Details

BONDIA WA ZIMBABWE ALIYEPIGWA ULINGONI AFARIKI DUNIA, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA

Wanaharakati nchini Zimbabwe wamelaumu Mamlaka zinazosimamia Mchezo wa ngumi nchini humo kwa kushindwa kuweka taratibu sahihi za kuwalinda Mabondia ulingoni, hii inakuja kufuatia kifo cha Bondia wa Zimbabwe Taurai Zimunya ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 24 baada ya kupigwa kwenye round ya 3 ya pambano lenye round 6 lililochezwa Borrowdale Harare na kupelekea kifo chake.

Similar Posts!