ALICHOKIFANYA OZIL BAADA YA KUTUPIWA MKATE UWANJANI KINASISIMUA by @Raha TV - Post Details
ALICHOKIFANYA OZIL BAADA YA KUTUPIWA MKATE UWANJANI KINASISIMUA
Mchezaji wa Arsenal Mesut Ozil alifanya jambo ambalo lilisisimua uwanja mzima baada ya kutupiwa kipande cha mkate na shabiki.
Ozil alichofanya ni kuchukua mkate ule na kuubusu kisha kuuweka pembeni ili kuonyesha kuwa anaheshimu chakula.