FEI TOTO MAMBO MAGUMU, TFF YATANGAZA MAAMUZI HAYA MAPYA by @Millard Ayo - Post Details

FEI TOTO MAMBO MAGUMU, TFF YATANGAZA MAAMUZI HAYA MAPYA

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) leo limetangaza maamuzi ya awali baada ya marejeo (review) ya kesi ya kimkataba ya Feisal Salum dhidi ya Yanga. Mara baada ya marejeo hayo TFF imetangaza kuwa hakuna hoja yoyote ya msingi ya mlalamikaji (Feisal Salum) ya kubadili maamuzi yake ya awali hivyo umamuzi wa ubaki pale pale (Feisal mchezaji wa Yanga)

Similar Posts!