Leo Simba itakuwa kibaruani kumenyana na Coastal Union mchezo wa ligi kuu Uwanja wa Mkwakwani huku ikitarajiwa kuwakosa nyota wake wawili ambao wanasumbuliwa na majeruhi. #Wawa #Murshid #Simba #DreamOnlineTv
Simba SC hawakuwa katika ubora ambao wenyewe wangetamani lakini wamevuna alama 3 , katika mechi zote za msimu ngumu ...
Simba SC hawakuwa katika ubora ambao wenyewe wangetamani lakini wamevuna alama 3 , katika mechi zote za msimu ngumu ...