Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally ameeleza Maandalizi yao ya Mchezo wa kesho Jumatano Mei 3 2023 wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC,Utakaochezwa Saa Moja Usiku,Uwanja wa Majaliwa Ruangwa Mkoani Lindi .
Kikosi cha Yanga kimetua kwenye Ardhi ya Tanzania kikitokea Nigeria kwenye Mchezo wa hatua ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United.
Leo tarehe 16/04/2023 Tanzania inashuhudia Mchezo tena Mchezo mkubwa Dabi ya Karikoo safari hii Mnyama Simba SC anamualika Mwananchi Young Africans kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Kumbukumbu nzuri Mchezo wa Kwanza Msimu huu uliowakutanisha Simba na Yanga ulitamatika kwa Sare 1-1 Agustin Okra akiingia kambani huku Aziz Ki akisawazisha kwa Mkwaju wa Mpira wa kutenga. Mpenja Tv tumefika Uwanjani kukuhabarisha wewe Mwana Michezo kabla na baada ya Mchezo huu kufika Tamati. Salia nasi kupata uhondo wote wa Dabi ya Kariakoo
Leo April 11, 2023, Mpenja TV tupo Uwanja wa Azam Complex kwa ajili ya kukuletea Matukio Yote yatakayojiri katika mchezo mkali wa ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Yanga Sc dhidi ya Kagera Sugar ... NB: Kaa Karibu na Mpenja Tv kupata kila Jambo linaloendelea katika Mchezo huu
Leo April 07, 2023 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 21:00 Usiku kuminyana na Mtibwa Sugar kutoka Morogoro katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Mpenja TV tumekita Kambi katika Uwanja wa Chamazi Kukuletea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza hapa
Leo tarehe 07/04/2023 ni Siku kubwa kwa Wana Michezo Tanzania hususani upande wa Soka ambapo kunapigwa Mchezo wa hatua ya Robo Fainali Kombe la Azam Sports Federation Simba dhidi ya Ihefu, Mshindi anakwenda Nusu Fainali kukutana na Azam FC. Mchezo huu unapigwa majira ya saa moja kamili za Usiku kwenye Dimba la Azam Complex. Mpenja Tv tumefika mapema kukuhabarisha kabla na baada ya Mchezo.
Baada ya kushuhudia Mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika Tp Mazembe dhidi ya Yanga uliopigwa kwenye ardhi ya Congo leo tarehe 02/04/2023. Ghalib Mzinga "Kilwa Finest" Ametoa Tathmini yake mapema baada ya Mchezo kumalizika, ameeleza Ubora wa Yanga kwenye Mchezo huo na Ubora wa Vikosi vilivyoanza. Aidha Mzinga amechagiza kuwa ameiona Yanga Kikosi cha kwanza dhidi ya Mazembe nyingine.
Leo March 19 2023,Yanga SC anamkaribisha US Monastir kutoka Nchini Tunisia Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye Mchezo wa Kundi D wa Kombe la Shirikisho Afrika, Mchezo Unaochezwa Saa Moja Jioni
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akiunguruma kuelekea Mchezo wa Kesho wa ligi kuu ya NBC ...
Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting, Frank Msese pamoja na Mchezaji Ally Bilaly wamezungumza Maandalizi yao ya Kumenyana ...
Baada ya Kikosi Cha Simba SC Kuichapa Mbeya City kutoka Mbeya City Mabao 3-2 katika Mchezo Uliopigwa Uwanja wa ...
Shabiki Mchambuzi wa Simba SC,Dkt Mohammed Hamis ametoa Maoni yake baada ya Timu yake Kuichapa Mbeya City Magoli ...
Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Tarehe 18/1/2023 Simba SC anamenyana na Mbeya City katika Dimba la ...
Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Tarehe 18/1/2023 Simba SC anamenyana na Mbeya City katika Dimba la ...
Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Tarehe 18/1/2023 Simba SC anamenyana na Mbeya City katika Dimba la ...
Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Tarehe 18/1/2023 Simba SC anamenyana na Mbeya City katika Dimba la ...