KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, #SimbaSC wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya #JKTTanzania jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. #EdwardSongo Kikosi cha JKT Tanzania kilikuwa; Abdulrahman Mohammed, Madenge Ramadhani/Michael Aidan dk64, Edward Charles, Mohammed Fakh, Rahim Juma, Jabir Aziz, Mwinyi Kazimoto, Hafidh Mussa, Hassan Matalema/Said Luyaya dk79, Danny Lyanga na Ally Bilal/EdwardSongo dk62. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
FT: Egypt 1-0 Tanzania. PASHAPASHA YA AFCON 2019: Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta baada ya mechi na Kocha wa Tanzania Emmanuel Amunike baada ya mechi anasema anakwenda kusahihisha makosa yaliyojitokeza kwenye mchezo wa leo kuelekea mchezo unaofuata.. . EgyptVsTanzania #MechiYaKirafiki #AFCON2019 #TaifaStars #AFCON #AFCON2019 #Egypt2019
BEKI wa Simba, Erasto Nyoni, mwenye control kubwa Ligi Kuu @erastonyoni4336 leo aliombwa viatu na mchezaji wa Biashara Mara na kama ilivyo desturi ya Fair Play, Master Nyoni bila hiyana alimkabidhi mchezaji huyo viatu hvyo kama ukumbusho kwake!! MCHEZO wa leo uliochezwa uwanja wa Taifa kati ya Simba na Biashara United umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Biashara United walianza kupachika bao dakika ya 14 kupitia kwa Innocent Edwin na Simba walisawazisha kupitia kwa Clatous Chama dk ya 17. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, Simba SC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa leo. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4. Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la #SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, #SimbaSC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa Mei 23, 2019. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4. Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars