KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

VIDEO: Tanzania 2-1 Equatorial Guinea, Shangwe la Mashabiki

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAO la la dakika za usiku lililofungwa na Abubakar Salum 'Sure Boy' limeiwezesha Taifa Stars kuvuna alama tatu katika mchezo wa kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Afcon 2021 baada ya kuifunga Guinea ya Ikweta mabao 2-1. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Bao la Stars lilifungwa na Simon Msuva dakika 68 baada ya kumzidi ujanja kipa wa Guinea ambaye muda mwingi alionekana kuwa kinara wa kuizuia Stars kufunga na hadi dakika za nyongeza, Sure Boy alipoachia shuti kali lililozama nyavuni na kuipa ushindi Stars mabao 2-1. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars

Mashabiki SIMBA Watoa Povu Kisa Sare Na Prisons Wamtaja Kocha

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars

Ona SIMBA Walivyotua Kucheza Na  Tz Prisons Ligi Kuu

VIBE la Mashabiki Simba Baada Ya Kuwafunga Mbeya City 4-0

Kocha Mbeya City Afunguka Kufungwa 4-0 na SIMBA Ligi Kuu

Kocha wa Klabu ya Mbeya City Juma Mwambusi amefunguka sababu ya kufungwa na simba akisema kuwa wao bado wanajenga timu bado ni wachezaji wachanga. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wamezinduka na kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Simba SC inafikisha pointi 21 baada ya ushindi huo kufuatia kucheza mechi nane, ikishinda saba na kufungwa moja, wakati Mbeya City inabaki na pointi zake nane baada ya kucheza mechi tisa. Simba SC inayofundishwa na kocha Mbelgiji, Patrick Aussems ilipata bao lake la kwanza dakika ya nane kupitia kwa mshambuliaji wa kimataifa w Rwanda, Meddie Kagere aliyefunga kwa penalti baada ya Miraji Athumani ‘Madenge’ kuangushwa kwenye boksi. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars

Kocha Simba Baada ya Kuwafunga Azam FC Uwanja wa Taifa
Kocha Simba Baada ya Kuwafunga Azam FC Uwanja wa Taifa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars

Alichokifanya Erasto Nyoni Na Mashabiki Wa SIMBA Baada Ya Kuwafunga Azam FC

ONA Azam FC Walivyotua Taifa Kuwavaa SIMBA SC Ligi Kuu

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports