KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA imetinga hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Mwadui mabao 2-1, mechi hiyo imechezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIBOKO YA SIMBA Afunguka "Tulijipanga Kushinda" Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMANZI na hali ya sintofahamu imeanza kuingia pale Msimbazi. Ndio, Simba imepoteza taji la kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar, katika fainali ya Kombe la Mapinduzi. Mchezo huo umepigwa jana usiku kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar, ambapo Simba ikiwa na mastaa wake tegemeo ilionekana kuzidiwa kila idara na Mtibwa Sugar, ambao waliingia fainali baada ya kuichapa Yanga kwa mikwaju ya penati huku Simba nayo ikiwaondoa mabingwa watetezi, Azam FC. Hata hivyo, wakati mashabiki na wapenzi wa Simba wakiugulia maumivu kwa kipigo hicho, mambo yamezidi kuharibika zaidi baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (Mo) kutangaza kuachia ngazi kutokana na kutoridhishwa na matokeo hayo. Katika taarifa yake kupitia ukurasa wake wa Twitter muda mfupi baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Mo alisema: “Baada ya kulipa mishahara inayofikia Sh4 bilioni kwa mwaka, najiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi. Nitabaki kuwa mwekezaji na nitazingatia kukuza miundombinu ya soka la vijana.” Mtibwa ambao walionekana kucheza soka safi na kumiliki mchezo huo, ilipata bao lake la ushindi dakika ya 38 kupitia kwa Awadh Salum, ambaye alipenya katikati ya msitu wa walinzi wa Simba. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
LEO, Januari 10, droo ya hatua ya 32 ya michuano ya Kombe la Shirikisho imechezeshwa na timu zilizotinga hatua hiyo zimemtambua mpinzani wake. Kombe la FA lililochini ya Azam FC iliyotwaa mbele ya Lipuli linatarajiwa kuendelea mwezi huu Januari na mechi zinatarajiwa kuchezwa kati ya Januari 24-26, 2020:- Namungo v Biashara United Mtibwa Sugar v Sahare All Stars JKT Tanzania V Tukuyu Stars Simba v Mwadui FC Yanga v Tanzania Prisons Azam FC v Friends Rangers Kagera Sugar v Might Elephant Lipuli v Kitayosa Gwambina v Ruvu Shooting African Lyon v Alliance FC Polisi Tanzania V Mbeya City Ndanda FC v Dodoma FC Majimaji v Stand United Ihefu v Gipco FC KMC v Pan Africans Panama v Mtwivila City Shirikisho La Soka Tanzania TFF Limetangaza Fainali Za Azam Federation Cup Zitapigwa Sumbawanga Mkoani Rukwa May 30 Mwaka Huu