KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars YANGA SC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya timu ngumu kwao kihistoria, Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Yanga SC nayofundishwa na Mbelgiji Luc Aymael anayesaidiwa na mzawa, Charles Boniface Mkwasa, kocha wa Fiziki, Riedoh Berdien kutoka Afrika Kusini na kipa wa zamani wa klabu, Manyika Peter anayewanoa walinda milango wa timu hiyo – inafikisha pointi 34 baada ya kucheza mechi 17 na kupanda nafasi ya tatu. Sasa inazidiwa pointi nne na Azam FC na pointi 16 na vinara na mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo kwa pamoja wamecheza mechi mbili mbili zaidi. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Kikosi cha Yanga SC kilikuwa; Metacha Mnata, Juma Abdul, Jaffar Mohamed, Lamine Moro, Said Juma ‘Makapu’, Papy Kabamba Tshishimbi, Ditram Nchimbi/Deus Kaseke dk71, Haruna Niyonzima/Ally Mtoni dk81, Yikpe Gislain/David Moringa ‘Falcao’ dk61, Balama Mapinduzi na Bernard Morrison. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Lipuli FC; Deogratius Munishi ‘Dida’, David Kameta, Paul Ngalema, Peter Mwangosi, David Mwasa, Novaty Lufunga, Said Mussa/Zubery Ada dk72, Freddy Tangalu, Paul Nonga, Daruweshi Saliboko na Keneth Masumbuko. Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Sixtus Sabilo alianza kuifungia Polisi Tanzania kipindi cha kwanza kabla ya Simba SC kuzinduka kipindi cha pili kwa mabao ya Nahodha wake, mshambuliaji John Raphael Bocco na kiungo Ibrahim Ajibu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuichapa Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Sasa Simba iliyo chini ya kocha Mbelgiji, Sven Ludwig Vandonbroeck anayesaidiwa na mzalendo, Suleiman Matola inafikisha pointi 47 katika mchezo wa 18 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 11 zaidi ya Azam FC wanaofuatia katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 36 za mechi 17. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendelea kung’ara baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Taifa Jijini Darves Salaam. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendelea kung’ara baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Taifa Jijini Darves Salaam. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Alichosema Kocha wa Namungo FC, Hitimana Thierry baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba SC ambapo timu yake imepoteza kwa goli 3-2. Hitimana amelalamikia goli la tatu la Simba lililofungwa na Meddie Kagere kuwa ni offside ingawa amesema ameridhika na matokeo. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars #KochaNamungo #HitimanaThierry #SimbaSC Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Namungo FC; Nourdine Balora, Miza Chrstom, Jukumu Kibanda, Carlos Protas, Stephen Duah, Daniel Joram/Paul Bukaba dk52, Hashim Manyanya, Lucas Kikoti, Bigirimana Blaise, Relliants Lusajo na George Makang’a/ Hamisi Khalifa dk59. Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars