KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

SIMBA Walivyotua Taifa Dakika Kumi Kabla Ya Mchezo Kuwavaa Azam FC
SIMBA Walivyotua Taifa Dakika Kumi Kabla Ya Mchezo Kuwavaa Azam FC

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Mashabiki SIMBA Luis Miquissone ni zaidi ya Morrison
Mashabiki SIMBA Luis Miquissone ni zaidi ya Morrison

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mashabiki wa timu ya Simba baada ya kuwachapa Biashara United ya Mara mabao 3-1 usiku wa Feb 22, 2020 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Kocha Biashara Awakubali SIMBA, Mabeki wangu Wamelala
Kocha Biashara Awakubali SIMBA, Mabeki wangu Wamelala

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika kampeni yao ya kutwaa taji la tatu mfululizo baada ya kuwachapa Biashara United ya Mara mabao 3-1 usiku wa FebUwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Mashabiki wa SIMBA Wamshangaa Morrison 'Kupanda Mpira'
Mashabiki wa SIMBA Wamshangaa Morrison 'Kupanda Mpira'

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mashabiki wa timu ya Simba wametamba baada ya kuwafunga Kagera bao 1-0 Uwanja wa Taifa leo Feb 18, 2020 Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 usiku Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 23, ikitanua uongozi wake kwa pointi 15 zaidi ya Azam FC wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi na kesho watamenyana na Ndanda FC mjini Mtwara. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Kocha Kagera Aukubali Mziki Wa SIMBA Ni Timu Bora
Kocha Kagera Aukubali Mziki Wa SIMBA Ni Timu Bora

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 leo Feb 18, 2020 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 23, ikitanua uongozi wake kwa pointi 15 zaidi ya Azam FC wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi na kesho watamenyana na Ndanda FC mjini Mtwara. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Kocha wa SIMBA Ajitetea Baada ya Kufungwa Na JKT Tanzania 1-0
Kocha wa SIMBA Ajitetea Baada ya Kufungwa Na JKT Tanzania 1-0

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

MAPOVU ya Mashabiki wa SIMBA Baada Kufungwa na JKT Tanzania
MAPOVU ya Mashabiki wa SIMBA Baada Kufungwa na JKT Tanzania

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na JKT Tanzania umekamilikwa kwa Simba kubanwa mbavu kwa kufungwa bao 1-0. Bao pekee la ushindi limefungwa na Adam Adam dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza ambalo limedumu mpaka mwisho wa kipindi. Nyota wapya wa Simba, Luis na Shiza Kichuya wameanza leo kwa mara ya kwanza. Mashabiki wamejitokeza kushuhudia ushindani uliopo kwani leo ni mechi ya kisasi. Mchezo wa kwanza walipokutana Simba ilishinda mabao 3-1 na leo kisasi kimelipwa kwa JKT kushinda bao 1-0. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

JKT Tanzania Watua Kibabe Kuifunga SIMBA Uhuru Ligi Kuu
JKT Tanzania Watua Kibabe Kuifunga SIMBA Uhuru Ligi Kuu

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports