Swahili Media's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Siku Ya Jana Simba ilipoteza Mchezo Dhidi Ya JKT Tanzania, Kuna Mambo Kadhaa Ambao Yalileta Taharuki Katika Mchezo Huo. Ikiwa Sambamba Na Mwamuzi Kukataa Goli Halali La Simba, Lakini Mashabiki Kutupa Lawama Kwa Kocha Sven #SimbaSc #Manara #JKTTanzania