Azam TV   

Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“The official Azam TV on Twitter | Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000”

 Report User

Highlights

MASHUJAA FC YAITEKA MBEYA: Tazama namna mashabiki wa Mashujaa FC walivyotua ‘kibabe’ ndani ya jiji la Mbeya kuelekea kwenye mchezo wao wa mkondo wa pili wa #PlayOff dhidi ya Mbeya City. Mambo yatakuwaje leo? Mechi saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD #PlayOff…



MASHUJAA FC 'KUOGA' PESA KILA GOLI "Kila goli moja litakwenda takribani milioni tano, sita" Omary Gimbi, Katibu Mkuu Chama cha Soka Mkoani Kigoma akizungumzia hamasa walionayo kutoka kwa wadau wa soka mkoani humo kuelekea mchezo wa marudiano wa play-off kati ya Mbeya City dhidi…



KUIONA MBEYA NI BURE: “Wananchi waje na miguu yao” maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akiwajuza wakazi wa mkoa huo kwenda kuutazama mtanange wa #PlayOff kati ya Mbeya City dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma ndani ya dimba la Sokoine. Katika mchezo huo utakaopigwa kesho,…



#PlayOff Hivi ndivyo timu zote mbili zilivyowasili dimbani pamoja na kauli za makocha kabla ya mechi. 15’ | Mashujaa 0-0 Mbeya City LIVE #AzamSports1HD #PlayOff #Mtoano #PlayOffChampionshipNBCPL #NBCPremierLeague #MashujaaFC #MbeyaCity #MashujaaMbeyaCity



“…tunakwenda kumpasua Niger” – Mashabiki wa Taifa Stars kuelekea mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania vs Niger, kesho saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee #TaifaStars #KufuzuAFCON #AFCONQ2023 #KufuzuAFCON2023



“Ni jukumu letu kupambana ili kupata matokeo mazuri” – Kiungo wa Taifa Stars, Himid Mao akijibu maswali ya wanahabari kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Niger. Ni mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania vs Niger, kesho saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2kwa Tanzania pekee…



AZAM FC vs POLISI TZ: Hawa hapa makocha wasaidizi wa Azam FC (@agreymorisambros) na John Tamba wa Polisi Tanzania pamoja na manahodha wa vilabu hivyo wakizungumza kuelekea mechi yao ya kesho ya NBC Premier League ambayo ni ya kufunga msimu wa 2022/23 #NBCPremierLeague…



NBC PL: “Maandalizi yote ya kucheza na timu nzuri ya Coastal Union kesho yamekamilika” maneno ya Kocha Msaidizi wa Simba SC, Juma Mgunda akiungana na kocha wa Coastal Union Fikiri Elias kuzungumzia mchezo wao wa kesho wa NBC Premier League. #NBCPL #LigiKuuTanzania #LigiKuu…




Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports