Karibu Chumvi Media uhabarike kwa habari za Michezo, Burudani, Simulizi na Makala mbalimbali. Some content (especially photos) in this video is used under Fair Use (Section 107, U.S. Copyright Act) for purposes like education, commentary, and news reporting. No copyright infringement intended.

Wapendwa watazamaji wetu wa Simulizi na Sauti (SnS), mwaka huu tumetajwa kuwania vipengele vitatu kwenye Samia Kalamu Awards. Tunaomba support yenu kwa kutupigia kura kupitia tovuti au kwa SMS. Unaweza kupiga kura mara moja kila baada ya saa 24. 1. SIMULIZI NA SAUTI (SNS) Kipengele: Chombo cha Habari cha Mtandaoni Kodi: 260261 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260261 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260261 kwenda 15200 2. FREDRICK KABOTA BUNDALA Kipengele: Fedha na Uchumi Kodi: 260126 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260126 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260126 kwenda 15200 3. ESCO DONALD MKANDAWILE Kipengele: Kazi na Ajira Kodi: 260106 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260106 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260106 kwenda 15200 Kila kura yenu ina maana kubwa sana kwetu na ni sehemu ya safari ya SnS kuendelea kufanya kazi bora zaidi. Tafadhali piga kura kila baada ya saa 24 na share ujumbe huu kwa ndugu, marafiki na wengine wanaopenda kazi za SnS. ASANTENI SANA KWA SUPPORT YENU. KURA YAKO NI NGUVU YETU.
Picha iliyopigwa miaka 19 iliyopita na kuonekana ya kawaida wakati huo, leo imegeuka kuwa moja ya picha zinazovutia dunia ya soka. Picha hiyo ilimuonesha Lionel Messi akiwa amembeba mtoto mchanga ambaye sasa ni nyota wa Hispania, Lamine Yamal. Na wawili hao watakutana uso kwa uso katika hatua kubwa zaidi ya soka duniani, fainali ya Kombe la Dunia 2026 Mwandishi wa BBC @ahmedbahajj anaiangazia simulizi hii - - #bbcswahili #soka #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Moshi. Mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Selemani Mwalimu, ameshindwa kuzuia hisia zake na kuangua kilio wakati wa hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Mandela uliopo kata ya Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, iliyoandaliwa kuelekea kuanza kwa michuano ya Zuberi Cup 2026. Mwalimu amelia alipokuwa akisimulia maisha magumu aliyopitia kabla ya kufanikiwa katika soka, akisema uwanja huo una kumbukumbu nyingi za safari yake ya kutafuta mafanikio. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Moshi, Mwalimu amesema akiwa pamoja na rafiki yake, Maulid, walikuwa wakifika uwanjani hapo usiku wa manane kufanya mazoezi licha ya kukosa vifaa muhimu, wakiamini siku moja ndoto zao zingetimia. "Huu uwanja una historia kubwa sana kwenye maisha yangu. Mimi na mshikaji wangu Maulid tuliteseka sana hapa. Kuna kipindi tulikuwa tunakuja kufanya mazoezi usiku wa manane tukiwa hatuna hata viatu, tukiamini ipo siku tutatoboa. Kurudi hapa leo nikiwa hivi, siamini macho yangu. Namshukuru Mungu sana," amesema Mwalimu huku akifuta machozi. Kauli yake iliyoambatana na kilio imegusa wengi waliohudhuria hafla hiyo, huku baadhi wakimshangilia na wengine wakionekana kuguswa na simulizi hiyo ya maisha yake.
Karibu utazame channel yako pendwa ya #HTMNEWS jiunge nasi kupata habari za kitaifa kimataifa, makala, simulizi mbalimbali, burudani na habari za michezo katika nyanja zote! kutoka Tanzania mpaka ulipo DUNIANI TUNAKUFIKIA! HTM NEWS #yanga #simba
East African number one Youtube channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS KANUNI NA MUONGOZO Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi. NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali. WeAreEverywhere #entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande