Msikie 'Clatous Chama' baada ya kupokea RAMBIRAMBI za mashabiki
Msikie 'Clatous Chama' baada ya kupokea RAMBIRAMBI za mashabiki

Kiungo wa simba Clatous Chama akitoa shukrani kwa mashabiki wa Simba kwa kumtolea rambirambi baada ya kufiwa na mkewe wiki chache zilizopita.



TAZAMA WALICHOKIFANYA 'Mashabiki wa Simba SC' MBELE YA GARI LA WACHEZAJI
TAZAMA WALICHOKIFANYA 'Mashabiki wa Simba SC' MBELE YA GARI LA WACHEZAJI

Tazama walichokifanya mashabiki wa klabu ya Simba baada ya mchezo wao dhidi ya Al Ahly kumalizika, walizonga gari lilobeba wachezaji wa klabu yao na kuimba huku wakicheza kwa furaha kusherekia ushindi wao waliopata leo dhidi ya klabu ya Misri Al Ahly.





Popular Tags

#Luis Suarez  #Shot Goals  #Ronaldinho  #Lionel Messi  #Mesut Ozil  #Gareth Bale  #LeBron James  #Best Goalkeeper Saves  #Stephen Curry  #Miami Heat  

Popular Users

#Buccigross  #CNN  #JoelEmbiid  #JasonDufner  #THNRyanKennedy  #LilTunechi  #JohnCena  #themichaelowen  #instagram  #CP3  #narendramodi  #MieshaTate  #BellaTwins  #nyt4thdownbot  #MileyCyrus