HUU NI MTEGO  KWA SIMBA PRE SEASON KUTOA DRAW MECHI 2 KAGAME CUP, SIMBA DAY IPO HIVI
HUU NI MTEGO KWA SIMBA PRE SEASON KUTOA DRAW MECHI 2 KAGAME CUP, SIMBA DAY IPO HIVI

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: ๐’๐ˆ๐Œ๐๐€ ๐’๐‚ ๐ˆ๐“๐€๐‚๐‡๐„๐™๐€ ๐๐€ ๐“๐”๐’๐Š๐„๐‘ ๐…๐‚ ๐˜๐€ ๐Š๐„๐๐˜๐€ ๐Š๐–๐„๐๐˜๐„ ๐’๐ˆ๐Œ๐๐€๐ƒ๐€๐˜ ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ”! ๐Ÿ˜๐Ÿฆ Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ rasmi itacheza dhidi ya Tusker ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช kwenye sherehe za SimbaDay 2026 na mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki utachezwa tarehe 08-08-2026 katika uwanja wa Uhuru. ๐Ÿ”š Awali Simba walituma ombi la kuialika FC Dynamos ya Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ lakini mpaka sasa klabu hiyo ya Zimbabwe haijatoa majibu na ndipo Simba SC ikabadili maamuzi ya kuialika Tusker ya nchini Kenya ambayo imejibu kwa wakati na kukubali kushiriki mchezo huo. WACHEZAJI WAPYA SIMBA MPAKA SASA : ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Keletso Makgalwa โ€“ ametokea Sekhukhune United (Afrika Kusini). ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Ibraheem Jabaar โ€“ ametokea Stellenbosch FC (Afrika Kusini). ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Serge Badjo โ€“ ametokea USM Alger (Algeria). ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kelvin Nashon โ€“ ametokea Pamba Jiji FC (Tanzania). ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Bakari Msimu โ€“ ametokea Coastal Union (Tanzania).



๐Ÿ›‘LIVE:SIMBA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA MSIMU HUU, SIMBA MPYA BALAA
๐Ÿ›‘LIVE:SIMBA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA MSIMU HUU, SIMBA MPYA BALAA

#Simbasc #wachezajiwapyasimbasc #Ahmedally WACHEZAJI WAPYA WALIOSAJILIWA SIMBA MSIMU HUU 2026/2027 Waliosajiliwa 1. Kaletso Makgalwa Winga kutoka Shekukune 2.Serge Badjo kutoka Ivory Coast Mlinzi wa kati Sababu ni Rushine injury aliyopata fainal dhidi ya Azam CRDB imemfanya atachelewa kurejea uwanjani 3. Ibraheem Jabaar kiungo kutoka Stellenbosch alifanya kazi na Steve Berker 4. Nathaniel chilambo kutoka Azam FC ameshatambulishwa ndiye mrithi wa Kapombe Simba 5. Kelvin Nashon kutoka Singida BS ila alikuwa Kwa Mkopo Pamba Jiji 6.Bakari Msimu kutoka Coastal Union 7. Ismail Mgunda Mshambuliaji kutoka Mashujaa 8.Seleman Mwalimu imeshindikana kusajiliwa mazima kutoka wydad kutokana na wydad kutaka mpunga mrefu ila Simba wamekubaliwa kwenye Mkopo wa msimu mzima hivyo Seleman Mwalimu atasalia tena Simba Kwa Mkopo . Wanatazamwa kwenye kagame cup wakikidhi wanasajiliwa mazima 9. Ibrahim Doumbia Mshambuliaji raia Wa Mali, Ibrahim Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kuongeza miaka miwili baadae katika klabu ya Simba Sc ya Tanzania. Doumbia alikuwa mfungaji Bora wa Ligi ya Mali Msimu ulopita akiwa na mabao 17. Simba hawataki kucheza kamali ya kumpa mkataba wa muda mrefu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, wakihofia akifeli na gharama za kuvunja mkataba. Doumbia msimu uliopita:- ๐Ÿ† Mfungaji bora wa Msimu ๐Ÿ† Mchezaji bora wa Msimu ๐Ÿ† Mchezo bora chipukizi wa Msimu. ๐Ÿ† Alikuwepo kwenye kikosi Bora cha msimu. DEAL OFF Ramadhan Chobwedo Winga kutoka TRA United amefeli vipimo vya afya Simba Dili lake limekufa rasmi Mpaka sasa Simba Sports Club imeachana na wachezaji wengi kuelekea msimu ujao. Je ni nani hakustahili kupewa Gudubaiii hapa utaniambia kwenye uwanja wa Comment hapo chini. 1. Chamou Karaboue. 2. Naby Camara. 3. Edwin Balua. 4.Joshua Mutale. 5. Awesu Awesu. 6. Omari Omari. 7. Moussa Camara. 8. Mzamiru Yassin 9. Ladack Chasambi 10. Jonathan Sowah 11. Mohamed Bajaber 12. Salehe Karabaka Mkopo Pamba Jiji 13. Valentino Mashaka Mkopo JKT Tanzania



Getting NBA legend, Serge Ibaka to say “Ei Ghanafuo”๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ #eighanafuo #ghanafuo
Getting NBA legend, Serge Ibaka to say โ€œEi Ghanafuoโ€๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ #eighanafuo #ghanafuo

I had the chance to interview NBA legend, @sergeibaka9 and of course I had to get him to say โ€œEi Ghanafuoโ€๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ๐Ÿคฃ Serge is from Congo๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ and I love that both Congo and Ghana made it to the round of 32 for the FIFA World Cup! Hereโ€™s to supporting our fellow Africans!๐Ÿซถ๐Ÿพ @cerave @NBA #eighanafuo #ghanafuo #congolese #ghanaian




Next »


Popular Tags

#Shaquille O'Neal  #Kawhi Leonard  #Goalkeeper Saves  #LeBron James  #Paul George  #Kawhi Leonard  #Boston Celtics  #Best Goals  #Kobe Bryant  #Best Champions League  

Popular Users

#Oprah  #JasonDufner  #realDonaldTrump  #KDTrey5  #narendramodi  #espn  #JohnCena  #rihanna  #rioferdy5  #jtimberlake  #Ky1eLong  #elonmusk  #LarryFitzgerald  #DanicaPatrick  #JoelEmbiid