AHMED ALLY BAADA YA DROO ATAMBA-"KOCHA BAKER SIMBA HAONDOKI YUPO SANA AGUSIA USAJILI MPYA KIMATAIFA"
AHMED ALLY BAADA YA DROO ATAMBA-"KOCHA BAKER SIMBA HAONDOKI YUPO SANA AGUSIA USAJILI MPYA KIMATAIFA"

AHMED ALLY BAADA YA DROO ATAMBA-"KOCHA BAKER SIMBA HAONDOKI YUPO SANA AGUSIA USAJILI MPYA KIMATAIFA" Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amefunguka kwa hisia na kujiamini mara baada ya droo ya hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) kupangwa jijini Arusha. Ahmed Ally amezungumzia namna walivyopokea kundi lao linalowajumuisha RS Berkane, Orlando Pirates, na Colombe FC, akieleza mikakati ya kuvuna alama na malengo ya kuongoza kundi kuelekea robo fainali. Pia, amejibu uvumi kuhusu Kocha Stephen Becker kuhusishwa kuondoka Simba pamoja na mipango ya dirisha dogo la usajili. Tazama mahojiano haya mwanzo hadi mwisho ujionee uchambuzi wa kina na kauli nzito kutoka kwa msemaji wa Mnyama! #SimbaSC #AhmedAlly #CAFCL #GlobalTVOnline #TotalEnergiesCAFCL #StephenBecker #SokaLaBongo ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com



Ronaldo avunja Ukimya: Ukweli wote kuhusu mgogoro na timu ya taifa na kocha huu hapa! Itakushangaza
Ronaldo avunja Ukimya: Ukweli wote kuhusu mgogoro na timu ya taifa na kocha huu hapa! Itakushangaza

Wapendwa watazamaji wetu wa Simulizi na Sauti (SnS), mwaka huu tumetajwa kuwania vipengele vitatu kwenye Samia Kalamu Awards. Tunaomba support yenu kwa kutupigia kura kupitia tovuti au kwa SMS. Unaweza kupiga kura mara moja kila baada ya saa 24. 1. SIMULIZI NA SAUTI (SNS) Kipengele: Chombo cha Habari cha Mtandaoni Kodi: 260261 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260261 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260261 kwenda 15200 2. FREDRICK KABOTA BUNDALA Kipengele: Fedha na Uchumi Kodi: 260126 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260126 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260126 kwenda 15200 3. ESCO DONALD MKANDAWILE Kipengele: Kazi na Ajira Kodi: 260106 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260106 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260106 kwenda 15200 Kila kura yenu ina maana kubwa sana kwetu na ni sehemu ya safari ya SnS kuendelea kufanya kazi bora zaidi. Tafadhali piga kura kila baada ya saa 24 na share ujumbe huu kwa ndugu, marafiki na wengine wanaopenda kazi za SnS. ASANTENI SANA KWA SUPPORT YENU. KURA YAKO NI NGUVU YETU.



TOP 10: A 21. század legerősebb LaLiga-támadósorai | ¿Qué Pasa? | S03E09
TOP 10: A 21. század legerősebb LaLiga-támadósorai | ¿Qué Pasa? | S03E09

A maratoni válogatott szünet tökéletes alkalom a toplistákra: összeszedtük a LaLiga 21. századi történetének legerősebb támadósorait! Az MSN és a BBC mellett több – mára már talán elfeledett – csatárduó is felbukkan! Tippeld meg a magyar válogatott Nemzetek Ligája-mérkőzéseihez kapcsolódó kérdéseket, gyűjts pontokat, és kerülj minél előrébb a ranglistán: https://vegas.hu/promotions/ria-ria-ingyenes-tippjatek?user_id=2_YTS_YTB_STL_UNT_VS26072&token=c-VS26072$s-YTS$m-YTB$p-STL$t-UNT$co-1x1&utm_id=VS26072&utm_campaign=VS26072&utm_source=YTS&utm_medium=YTB&utm_platform=STL&utm_term=UNT&utm_content=1x1 Tartalom: 0:00 Bevezető nevetés és nosztalgiázás 1:49 Az első duó Baszkföldről 7:15 Trófeahalmozó páros Sevillából 12:32 A Super Depor sztárjai 17:10 Dél-amerikai Matracosok 21:14 Akik még a 20. században kezdték 27:17 Játék 37:24 Száz gól feletti Barca-trió 42:22 Összeálló királyi duó 47:27 Ez a katalán trió is ikonikus? 51:37 A legkirályibb madridi hármas 57:47 Ez volt minden idők legjobb támadósora? 1:03:28 A mostani Barcelona is felférhet majd a listára? Vegas Sports Hungary Facebook / https://www.facebook.com/vegassportshungary Instagram / https://www.instagram.com/vegassportshungary/ TikTok / https://www.tiktok.com/@vegassportshungary Vegas Sports Blog / https://sport.vegas.hu/ Szereplők: Nagy Viktor Instagram: https://www.instagram.com/imviktornagy/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@nagy.viktor13 Koppányi Gergely Instagram: https://www.instagram.com/koppanyigergely/ Matuz Krisztián https://www.instagram.com/matuz_krisz/ #fcbarcelona #realmadrid #atleticomadrid #laliga #vegassportshungary



PHYSICS EP07. JONAS MKUDE KWA MARA YA KWANZA AKIZUNGUMZIA SAFARI YAKE YA SOKA ILIVYO ANZIA.
PHYSICS EP07. JONAS MKUDE KWA MARA YA KWANZA AKIZUNGUMZIA SAFARI YAKE YA SOKA ILIVYO ANZIA.

Safari ya soka ya Jonas Mkude ilipoanzia mpaka sasa pia ameelezea changamoto alizo kutana nazo pia ametaja mechi za kimataifa ambazo hawezi kuzisahau akiwa simba na yanga




Next »


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Best Goalkeeper Saves  #Russell Westbrook  #Sergio Aguero  #Boston Celtics  #Paul Pogba  #Mesut Ozil  #Best Goals  #Zlatan Ibrahimovi  #Mesut Ozil  

Popular Users

#JJWatt  #iamsrk  #RSherman_25  #Buccigross  #lindseyvonn  #ladygaga  #geniebouchard  #obj  #RyanBabel  #MileyCyrus  #MariaSharapova  #floydmayweather  #WWE  #StephenCurry30  #_BAnderson30_