Gonga LIKE, SUBSCRIBE na ushuke kwenye comment kutuambia unaitazama live hii ukiwa wapi sasa hivi! #SimbaDay2026 #AhmedAlly #SimbaSC #UwanjaWaUhuru #Miaka90YaSimba #Alikiba #NguvuMoja #SimbaDay #Mubashara #LiveStream #SokaTanzania #DataSportsTv
USAJILI WA PACOME KUJA SIMBA, AHMED ALLY AFUNGUKA UKWELI WOTE, TSHABALALA ANAKWENDA YANGA? : : SIMBA NA YANGA MECHI YA DERBY DERBY YA KARIAKOO KUFUNGWA KWA KANISA LA GWAJIMA JOSEPHAT GWAJIMA MBUNGE WA KAWE MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA RAIS SAMIA SULUHU JAKAYA KIKWETE WAZIRI MKUU MAJALIWA CCM DODOMA FAINALI YA BERKANE VS SIMBA UWANJA WA AMANI ZANZIBAR WAARABU MOROCCO WAIPIGIA SALUTI SIMBA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA #shorts #viralshorts #simbasc #simbavsrsbeekane #amanizanzibar #uwanjawaamani #benjaminmkapa #eliempanzu #yanga #yangasc #cafchampionleague #cafconfiderationcup #rsberkane #uwanjawamkapa #simbavsyanga #millardayo #globaltvonline #ayomatv #jambotv #wasafi #wasafitv #wasafimedia #wasafifm #ahmedally #cloudsfm #jeancharlesTelegram: Karibu upate Habari za uhakika hapa Champion Habari Habari za Siasa | Kijamii | Michezo | Burudani na Uchambuzi. WASILIANA NASI +255 655 100 695 Email: championhabari@gmail.com Follow us Instagram: championhabari Instagram:https://www.instagram.com/champion_habari?igsh=MXF5aWNqaWFqdXVjbA==
Zimepigwa penati tatu, Simba ikiitandika Namungo FC mabao 3-0 kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Jean Charles Ahoua amefunga penati mbili, huku Lionel Ateba akikosa penati moja iliyookolewa na golikipa wa Namungo, Jonathan Nahimana. Goli la tatu kwa Simba limefungwa na Steven Mukwala dakika za majeruhi... Katika mchezo huu pia, Namungo wamepata pigo baada ya beki wake Derrick Mukombozi kutolewa kwa kadi nyekundu...
Yanga imerejea kwenye njia ya ushindi baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, ambapo leo imeshinda 2-0 ugenini dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 50 na Pacome Zouzoua dakika ya 68.
Yanga imerejea kwenye njia ya ushindi baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, ambapo leo imeshinda 2-0 ugenini dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 50 na Pacome Zouzoua dakika ya 68.