"Wachezaji wako tayari, viongozi wako tayari" - Maneno yaliyosikika wakati Meneja wa Habari na Mawasiliano wa @yangasc, @alikamwe akifanya mahojiano na viongozi wa msafara waliombatana nao DR Congo kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe. Aidha, Kamwe ameeleza kwamba mashabiki wa Yanga tayari wapo mjini Lubumbashi kwa ajili ya kuwapa nguvu wachezaji kwenye mchezo huo wa Jumamosi Desemba 14, 2024. Game itapigwa saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD Mhariri ✍ @abuuyusuftz #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #CAFCL #YangaSC #TPMazembe
Baada ya beki wa kati, Abdallah Shaibu 'Ninja' kumalizana na Lubumbashi Sport ya DR Congo, ametaja mipango aliyonayo kwa msimu ujao, huku akisimulia kisa kupiga picha na Injinia Hersi Said. Ninja alijiunga na Lubumbashi Sports kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Yanga ameutumikia mmoja, kisha ameomba kuondoka akitoa sababu ni usalama mdogo wa maisha ya DR Congo. "Japo kuna timu tatu za DR Congo zinahitaji huduma yangu, labda nipewe pesa ndefu, hata nikikaa kwa shida familia yangu Tanzania iwe salama, nje na hapo zipo timu hapa nyumbani zinahitaji huduma yangu nitazipa nafasi, kwanza Ligi Kuu Bara ni maarufu na inafuatiliwa na nchi mbalimbali," amesema na kuongeza; "Wakati nafika mara ya kwanza, niliambiwa kutembea mwisho saa 3:00 usiku, kila mtaa unapita unakutana na askari, sasa kuna wakati mwingine unaweza ukatoka kutafuta chakula cha Kitanzania, saa 3:00 ikikukutia nje ya nyumba yako ni shida." Hata hivyo, Ninja amesema hatosahau kipigo alichopigwa na walinzi wakati akiingia uwanjani kwenda kukutana na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Tenant du titre de la ligue des Champions de la CAF, le National Al Ahly du Caire a tenu en échec le TP Mazembe samedi 20 ...
Wasikie Mashabiki wa Timu ya Yanga kutoka Lubumbashi Congo wakizungumzia furaha yao baada ya timu hiyo kupata ushindi ...
Tazama Rais wa Yanga SC, Hersi Said akiwaongoza wanachama na mashabiki wa timu hiyo kutetema kama afanyavyo nyota wao Fiston Mayele afungapo goli. Tukio hilo limefanyika leo wakati Rais huyo wa Yanga akiongoza uzinduzi wa tawi jipya mjini Lubumbashi DR Congo
LINAFOOT-VODACOM L1/2022-2023: LUBUMBASHI SPORT VS AS VCLUB (1-3), RÉSUMÉ DU MATCH.