Kipindi cha kwanza kusikika cha CROWN SPORTS 92.1 CROWN FM. Msemaji wa Klabu ya Yanga SC Ally Kamwe atakua Live akitujuza kuhusu usajili, mipango, kambi ya Yanga SC na kuhusu mashindano ya Kagame Cup yajayo. #CROWNSPORTS #CROWNDIGITAL
#simba #ligikuutanzania #jkttanzania #cloud #geoflea Simba imeshinda goli moja kwa bila dhidi ya JKT Tanznia ambapo goli la simba lilifungwa dakika ya 96 zikiwa zimeongezwa dakika 7,