#Petershalulile #JeanGirumugisha #Azizki #Yangasc #Tetesizausajilimpya Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐ธ๐ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐ฟ๐ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โฝ Mechi: 26 ๐ฅ Magoli: 2 ๐ฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐ธ๐ฟ Mechi: 9 โฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐น๐ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐ฟ๐ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro . 4.Azizi Ki amerejea tena Yanga Kwa mkataba wa Miaka 2 kutoka Al Ittihad ya libya 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo cosmas ya south Africa na aliwahi kufanya majaribio Dubai ni kinda aliyetikisa Zaidi na Serengeti Boys,msimu huu Kafunga goli 1 pekee dhidi ya Fountain Gate 9. Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 10. Morice Chukwu kiungo na mlinzi wa kati Kutokea Singida BS Tetesi wanaohusishwa kusajiliwa 1. Jean Girumugisha WINGA fundi na hatari Zaidi Barani Africa MVP wa Ligi ya Rwanda msimu uliopita alihusishwa kutambulishwa na mabwanyenye wa Libya Al Ahly Tripol lakini inaonekana Yanga wamemnasa ngoja tusubiri muda utafika inaelezwa hii itakuwa surprise package ya Yanga pale uhuru stadium kwenye Yanga Day 9.8.2026 2. Alphonce Mabula mtanzania anayekipiga huko Bahrain Azerbaijan 3. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Chadrack Boka 5. Bakari Mwamnyeto Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐ฒ๐ฑ Djigui Diarra 2.๐จ๐ฎ Yao Kouassi 3.๐จ๐ฉ Chadrack Boka 4.๐ฐ๐ช Duke Abuya 5.๐จ๐ฉ Maxi Nzengeli 6.๐ฆ๐ด Laurindo Depu 7.๐บ๐ฌ Allan Okello 8.๐จ๐ฎ Pacome Zouzoua
ESPN FCโs Craig Burley, Steve McManaman and Frank Leboeuf join Dan Thomas to react to Spainโs 1-0 win over Argentina in the 2026 FIFA World Cup final. Subscribe to ESPN UK: http://bit.ly/1oGUzVA Follow ESPN UK across multiple platforms: https://en-gb.facebook.com/ESPNUK https://twitter.com/ESPNUK https://www.espn.co.uk/
Watch Chelsea Men's second week back training ahead of the 2026/27 season. Subscribe to our channel here: https://www.youtube.com/chelseafc?sub_confirmation=1 #Chelsea #ChelseaFC #Football #Soccer #chelseatraining #trainingday #training #preseason #xabialonso --- Download Chelsea FC's official mobile app for EXCLUSIVE content: http://che.lc/5thstand For all the latest updates, team news and launches, visit: http://che.lc/YTwebsite --- ABOUT CHELSEA FOOTBALL CLUB Founded in 1905, Chelsea Football Club is an English professional football club based in Fulham, West London with Stamford Bridge as the home of the club. Competing in the Premier League - the top division of English football, the club has had many successes, winning five Premier League titles. The club won their first major honour, the League championship in 1955, followed by the FA Cup in 1970, their first European honour, the Cup Winners' Cup in 1971, and became the third English club to win the Club World Cup in 2022. As the Pride of London, Chelsea FC is one of the most successful clubs in terms of overall trophies won. They are the only club to have won all three major European competitions twice and have taken the crown domestically, winning six league titles, eight FA Cups, five League Cups, and four FA Community Shields. Internationally, Chelsea have won the UEFA Champions League, the UEFA Europa League, the UEFA Cup Winners' Cup and the UEFA Super Cup twice each, and the FIFA Club World Cup once since their inception. The Chelsea YouTube channel provides access to all the build-up, training and behind-the-scenes moments and matchday action along with all the unseen edits and player focus from Reece James, Cole Palmer and Enzo Fernandez to Sam Kerr, Lauren James and many more. Itโs the only channel where youโll get an authentic look at this great club including memorable nights with world-class heroes such as Peter Osgood, Gianfranco Zola, Frank Lampard, John Terry, Didier Drogba & Eden Hazard.
#Yangasc #Yangaleo #alikamwe #usajilimpyayanga #Enghersi Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐ธ๐ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐ฟ๐ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โฝ Mechi: 26 ๐ฅ Magoli: 2 ๐ฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐ธ๐ฟ Mechi: 9 โฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐น๐ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐ฟ๐ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3.Nasri Kombo Kutoka TRA United 4.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 5.Azizi Ki 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Samba Kone Kutoka Muna FC ya Ivory Coast Mlinzi wa Kushoto 8.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate . Emmanuel Flomo ๐นKlabu ya wananchi Yanga imefikia makubaliano binafsi (personal terms) na winga hatari wa kulia wa Liberia na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan,Emmanuel Flomo (18). -Yanga wanajaribu utaratibu wa kuvunja mkataba wa mchezaji huyo katika klabu yake ya Al Hilal ya Sudan. -Flomo amefunga mabao 12 Msimu uliopita na kuibuka mchezaji chipukizi katika ligi ya Rwanda. Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy free agent 8. Farid Mussa free agent 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma 13. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 14. Bakari Mwamnyeto mchezaji huru mkataba imeisha amepunguziwa mshahara na anasubiriw asaini 15. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐ฒ๐ฑ Djigui Diarra 2.๐จ๐ฎ Yao Kouassi 3.๐ฐ๐ช Duke Abuya 4.๐จ๐ฉ Maxi Nzengeli 5. ๐ฆ๐ด Laurindo Depu 6.๐บ๐ฌ Allan Okello 7.๐จ๐ฎ Pacome Zouzoua Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi
Dan Thomas is joined by Frank Leboeuf, Steve McManaman, Craig Burley and Santiago Solari on ESPN FC to break down Argentinaโs 2-1 victory over England in the 2026 FIFA World Cup Semifinals. 0:00 Initial reaction 1:47 Missed opportunity for England? 4:28 Argentinaโs late comeback 12:32 Jude Bellingham 16:47 Lionel Messi โ๏ธ Subscribe to ESPN Unlimited: https://plus.espn.com/ #ESPN
ESPN FCโs Craig Burley, Steve McManaman, Frank Leboeuf and Santiago Solari join Dan Thomas to react to Argentinaโs late 2-1 win over England in the World Cup semifinals. Subscribe to ESPN UK: http://bit.ly/1oGUzVA Follow ESPN UK across multiple platforms: https://en-gb.facebook.com/ESPNUK https://twitter.com/ESPNUK https://www.espn.co.uk/
On ESPN FC, Dan Thomas is joined by Santiago Solari, Frank Leboeuf, Steve McManaman, and Craig Burley for their immediate reaction and analysis after Spain advanced to the 2026 FIFA World Cup Final with a win over France. Spain will face the winner of Argentina vs. England in the final. โ๏ธ Subscribe to ESPN Unlimited: https://plus.espn.com/ #ESPN #worldcup #espnfc #football #spain #france
Craig Burley, Frank Leboeuf and Julien Laurens join Dan Thomas on ESPN FC to discuss Argentinaโs 3-1 (AET) win over Switzerland in the 2026 World Cup Quarterfinals. โ๏ธ Subscribe to ESPN Unlimited: https://plus.espn.com/ #ESPN