#Yangasc #Usajilimpya #TetesizausajilimpyaYangasc Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Nyota mpya wa Yanga SC, Albert Kangwanda, amemaliza msimu wa 2025/26 kwa kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Zambia (MVP) baada ya kuonyesha kiwango bora katika msimu mzima. Takwimu zake za msimu kwenye michuano yote: Mechi: 32 Magoli: 17 Asisti: 9 Mchezaji Bora wa Ligi (MVP) Timu alizowahi kuchezea: Red Arrows FC Kafue Celtic FC Zanaco FC Kafue Celtic FC HNK Gorica NK Hrvatski Dragovoljac Red Arrows FC Al-Hilal Omdurman Red Arrows FC Spartanii Sportul Red Arrows FC Wananchi, mnaipa alama ngapi usajili wa Albert Kangwanda? Huyu ni Winga fundi sana na anapiga free kick vibaya mno 2. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundows ,Peter Shalulile (32). Baada ya mazungumzo ya muda mrefu Shalulile amesinya miaka miwili Yanga✅ Yanga wamempa $700,000 (1.8 bilion) kama Sign-on fee. Kipindi ambacho watu wote akili zao zipo kwa Stephane Aziz Ki, viongozi wa Yanga SC wao wakasema hapana-huko tulishapita na mambo yamebadilika! Wakati mnasubiri kuona nani anafuata baada ya Allan Okello (top player kusajiliwa na kuonesha), mabingwa wa nchi wakaona washushe chombo cha viwango vya juu kabisa vya CAF. Hapa hatuongelei mchezaji wa kawaida, naongelea funga kazi Bingwa wa Afrika akiwa na Mamelodi Sundowns, mashine hatari ya kucheka na nyavu, PETER SHALULILE anatua Jangwani🟢🟡 rasmi on a free transfer . Takwimu za Peter Shalulile Mabao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL / SAPD): Mabao 112 (mabao 44 akiwa na Highlands Park na mabao 68 akiwa na Mamelodi Sundowns). Mabao ya CAF Champions League: Mabao 15 (yote akiwa na Mamelodi Sundowns, ambapo pia alikuwa mfungaji bora wa mashindano hayo mwaka 2023). Mabao kwenye Mashindano Yote (Klabu): Mabao 153 katika michezo 353 (mabao 49 Highlands Park na mabao 104 Mamelodi Sundowns). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro ni Winga fundi haswaaa 4. Cheikh Ibrahima Touré ni mshambuliaji mwenye asili ya Senegal na Ufaransa, anayejulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga mabao na kuongoza safu ya ushambuliaji. Kabla ya kujiunga na Yanga SC, Touré alikuwa akicheza nchini Saudi Arabia, ambako alikuwa na msimu bora uliomfanya kuwa miongoni mwa washambuliaji waliofanya vizuri. Takwimu zake msimu uliopita: Mechi: 34 Mabao: 20 Asisti: 5 Touré anajiunga na Yanga akiwa na rekodi nzuri na matarajio makubwa ya kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa Tanzania. 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo 9.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi Winga kutoka Mashujaa 10. Fred ngoma kiungo kutoka Olympic de Club safi Morocco 11. Marco maarufu kama mpemba D Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent amejiunga na Coastal Union ya Tanga 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda TRA United 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Bakari Mwamnyeto 5. Shadrack Boka 6. Denis Nkane Hii ndiyo orodha ya wachezaji 12 wa kigeni wa Yanga SC kuelekea msimu wa 2026/27, huku klabu hiyo ikiendelea kusuka kikosi cha kupambana kwenye mashindano mbalimbali. 🇨🇮 1. Diarra Djigui 🇨🇮 2. Kouassi Yao 🇨🇮 3. Boka Shadrack 🇨🇲 4. Max Nzengeli 🇰🇪 5. Duke Abuya 🇺🇬 6. Allan Okello 🇳🇦 7. Peter Shalulile 🇫🇷 8. Ibrahima Touré 🇿🇲 9. Albert Kangwanda 🇨🇬 10. Fred Ngoma 🇰🇲 11. Housseine Zakouani 🇦🇴 12. Laurindo Depu 13. Pacome Zouzoua Pacome Zouzoua naye yupo nje kutokana na majeraha na taarifa zinaeleza kuwa hatakuwa sehemu ya msimu ujao
Anthony Joshua was knocked down twice before launching a sensational second round comeback vs Kristian Prenga at the Jeddah Superdome, Saudi Arabia on Saturday 25 July 2026. With climbing off the canvas twice in the opening round, AJ clears the path for the much anticipated megafight with long standing arch rival Tyson Fury for later in the year. #AnthonyJoshua #TysonFury #Boxing
España acaba de ganar la Copa Mundial de la FIFA 2026 a Argentina. Esta edición se celebró en Canadá, México y Estados Unidos, pero ¿qué pasará en las próximas? Prepárense para 2030: España, Portugal, Marruecos, Argentina, Uruguay y Paraguay ...y Arabia Saudita en 2034 - - - - o - - - - Mr. Spherical aquí - ¡Bienvenido al canal! Producimos divertidos videos del estilo countryball sobre temas actuales, eventos históricos... o lo que se nos ocurra. Y si te gusta la forma en que educamos... Considera suscribirte :) EMPRESAS: Si está interesado en que su marca llegue al público estadounidense con nuestros contenidos de animación exclusivos, póngase en contacto con: - contact@mrspherical.com O una de nuestras agencias asociadas: - mrspherical@intheblackmedia.com - - - - o - - - - 🎙 ¡Si te interesa tener nuestras voces en tu proyecto contactanos! 🎙 💻 https://likanstudios.com/ 💻
#spain #caboverde #worldcup2026 #fifaworldcuponyt #shorts England vs Argentina Semi Final france 0 2 spain world cup 2026 semi final spain 2 1 belgium world cup 2026 quarter final portugal 0 1 spain world cup 2026 round of 16 spain 3 0 austria world cup 2026 round of 32 uruguay 0 1 spain world cup 2026 Group H spain 4 0 saudi arabia world cup 2026 Group H spain 0 0 cabo verde world cup 2026 Group H
Mới 19 tuổi, Lamine Yamal đã sở hữu dàn bạn gái toàn cực phẩm. Không chỉ gieo rắc nỗi khiếp sợ trên sân cỏ, thần đồng Yamal còn chứng minh sức hút khủng khiếp trên tình trường với lịch quen toàn những mỹ nhân đình đám! Mối tình đầu tiên bước ra ánh sáng là Alex Padilla - hot TikToker Tây Ban Nha. Cô nàng từng gây sốt khi xuống sân ăn mừng chức vô địch Euro 2024 cùng gia đình Yamal. Dù vậy, cuộc tình chớp nhoáng này đã khép lại vào đầu năm 2025. Ngay sau đó, Yamal khiến truyền thông "chấn động" khi cặp kè cùng Nicki Nicole - nữ ca sĩ bốc lửa người Argentina, lớn hơn anh tới 7 tuổi. Chuyện tình "chị em" giữa bóng đá và âm nhạc gây bão mặt báo suốt vài tháng trước khi cả hai chia tay êm đẹp vào tháng 10/2025. Đến đầu năm 2026, Yamal lại say đắm bên Ines Garcia - nữ influencer nổi tiếng đến từ Seville. Ines trở thành hậu phương vững chắc trên khán đài World Cup 2026. Đỉnh điểm là nụ hôn ngọt ngào Yamal dành tặng bạn gái ngay sau chiến thắng hủy diệt 4 0 trước Saudi Arabia! Đá bóng siêu hạng, tán gái đỉnh cao, Yamal đích thực là người chiến thắng trên mọi mặt trận! --------------------------------------------------------------- 🔔 Nhấn SUBSCRIBE KÊNH và ẤN CHUÔNG để là người đầu tiên nhận được thông báo video mới của Nhím Bóng Đá nha: https://www.youtube.com/channel/UCcekWRfooLoC9ApA1bGkFyQ --------------------------------------------------------------- ► LIÊN HỆ VỚI TÀI NẾU CÓ VẤN ĐỀ VỀ BẢN QUYỀN ◄ ► Email: nhimbongda@gmail.com ► Contact for work : nhimbongda@gmail.com --------------------------------------------------------------- © Bản quyền thuộc về Nhím Bóng Đá © Copyright by Nhím Bóng Đá ☞ Do not Reup! #nhimbongda #tintucbongdamoinhat #tintucbongdavietnam
Argentina ○ Road to Victory - World Cup 2022 00:00 Intro 00:25 MD1 / Argentina vs Saudi Arabia 02:10 MD2 / Argentina vs ...