YANGA SC BINGWA MARA TANO MFULULIZO/SIMBA SC MACHO YOTE KWENYE FAINALI YA CRDB CUP/PACOME AVUNJIKA
Yanga SC imehitimisha msimu wa Ligi Kuuya NBC 2025/26 kwa kishindo, ikiichapa JKT Tanzania mabao 3-0 kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na kutwaa ubingwa wa tano mfululizo. Magoli yamefungwa na Prince Dube, Maxi Nzengeli na Laurindo Dilson Maria Depu.
LIVE CROWN SPORTS; YANGA IMEKARIBIA KUBEBA UBINGWA WA TANO MFULULIZO/ SIMBA YAMSUBIRI YANGA AJIKWAE NBCPL/ NBCPL IMENOGA.
MZARAMO wa SIMBA AWAWASHIA MOTO YANGA - "WALETE HAPA FAINALI TUNAMPIGA MTU CHUMA TANO".. ============================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 45136) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx