LIPULI FC Walivyowasili UWANJANI Kuumana na SIMBA Kikosi cha Lipuli FC Tayari kimewasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa kwa ajili ya kuumana na wekundu wa Msimbazi Simba SC. #SIMBAVsLIPULI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
KOCHA Matola Ataja Alipowabana Simba Taifa KOCHA Wa timu ya Lipuli mara baada ya mchezo dhidi ya Simba amefunguka na kuelezea sehemu alipowabania simba mpaka kupata suluhu tasa kuwa ni plani nzuri aliyoipanga huku akisema washambuliaji wamemuangusha kwani angeweza kuifunga simba hata goli tatu. Matokeo hayo yanawafanya wavune pointi moja uwanja wa Taifa na kufikisha jumla ya pointi 27 wakiachwa na Yanga ambao jana walishinda mbele ya Mwadui FC ya mkoani Shinyanga na kufikisha pointi 29. #MATOLA #SIMBAVSLIPULI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK