USHINDI WA MZIZE ULIVYOTANGAZWA KUNYAKUWA TUZO CAF
USHINDI WA MZIZE ULIVYOTANGAZWA KUNYAKUWA TUZO CAF

CAF AWARDS 2025 | Hivi ndivyo nyota magwiji wa soka la Afrika, Asamoah Gyan na Manucho walivyomtangaza Clement Mzize (Yanga SC) kuwa mshindi wa tuzo ya goli bora la mwaka. Pia sikiliza alichokisema Clement mwenyewe kuhusu tuzo hiyo akitoa shukrani zake kwa CAF, wachezaji wenzake, benchi la ufundi, na wote waliompigia kura. Mzize anasema “…hii ni ya kwetu wote” Goli lenyewe ni lile alilowafunga TP Mazembe kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, msimu uliopita…Yanga ikishinda 3-1 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Januari 4, 2025. Ni usiku wa tuzo kwa waafrika waliofanya vizuri kwenye ulimwengu wa soka mwaka 2025. Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #CAFAwards2025 #CAFAwards #TuzoZaCAF



IBWE AWAOMBEA SIMBA LOLOTE LIWAKUTE/"SISI NI DHAHABU/YANGA WANAMUOTA FEISAL/MPENJA ASIENDE UMALILA
IBWE AWAOMBEA SIMBA LOLOTE LIWAKUTE/"SISI NI DHAHABU/YANGA WANAMUOTA FEISAL/MPENJA ASIENDE UMALILA

Baada ya Kimya kirefu hatimae Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC Hasheem Ibwe ameibuka tena na kuutangazia umma kuwa wanautaka Ubingwa Msimu. Ibwe amezungumza kinachoendelea kwenye Kikosi cha Azam FC Wakati huu ambao Ligi imesimama pamoja na Nyota wanatarajia kurejea hivi karibuni. Aidha ametoa shukrani kwa Timu iliyowauzia Feisal Salum kwani walichotaka akifanye ndio anakifanya kwa sasa kwenye Kikosi cha Azam FC. Pia ametoa maoni yake juu ya Michuano ya AFL ambao Simba wanakwenda kufungua Pazia dhidi ya Al-Ahly kutoka Misri, ambapo Ibwe amewatakia Simba lolote liwakute kwani adui yake hawezi kumuombea mema. Sanjari na hayo ametuma salam kwa Baraka Mpenja kuwa asitishie kuacha kutangaza kwani Mashabiki wa Soka bado wanataka burudani.



#LigiKuu | Klabu ya Azam imethibitisha kuwa hakutakuwa na kiingilio kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Polisi Tanzania  Azam Complex kama sehemu ya shukrani kwa mashabiki wao kwa kuwa pamoja kwa msimu mzima

Aidha getini kila shabiki atapatiwa kinywaji cha Azam Mango Crush

#LigiKuu | Klabu ya Azam imethibitisha kuwa hakutakuwa na kiingilio kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Polisi Tanzania Azam Complex kama sehemu ya shukrani kwa mashabiki wao kwa kuwa pamoja kwa msimu mzima Aidha getini kila shabiki atapatiwa kinywaji cha Azam Mango Crush



FULL TIME: SIMBA (1 - 0) Vs YANGA kutokea LAKE TANGANYIKA - KIGOMA
FULL TIME: SIMBA (1 - 0) Vs YANGA kutokea LAKE TANGANYIKA - KIGOMA

SUBSCRIBE na BONYEZA alama ya KENGELE ili upate MATUKIO mengine mapya kirahisi zaidi kupitia hapa HB TV #HAS_BILLION #SIMBA #YANGA #MWIJAKU #CEO_SIMBA #ALIKIBA #SHUKRANI #BURUNDI #SIMBA #YANGA #HARMONIZE #ALIKIBA #BABALEVO #HARMONIZE #ANGELLA #MATUSI #GARI #DiamondPlatnumz #Zari #Nillan #PrincessTiffah #AfrikaKusini #ALIKIBA #DIAMONDPLATNUMZ #DiamondPlatnumz #kamata #RAYVANNY #PAULA #MAHABA #HARMONIZE #MANG'DAKIWE #DSM #DAR_ES_SALAAM #BUS #RAYVANNY #PAULA #MAHABA #Alikiba #Mwijaku #Fungo #Maisha #PAULA #HARMONIZE #IRENE_UWOYA #IreneUwoya #Irene_Uwoya #H_BABA #ANGELLA #DIAMONDPLATNUMZ #IYO #Focalist #DiamondPlatnumz #LINNAH #HARMONIZE #MANIFONGO #HARMONIZE #LAVALAVA #KIKI #MAREKANI #USA #Harmonize #Alikiba #Zuchu #DiamondPlatnumz #INNOSS'B #Innoss'B #Jux #Juma_Jux #MIRIAMODEMBA #Miriam_Odemba #ZARI_THE_BOSSLADY #THE_DARK_STALLION #Zari_Kingbae #HAJI_MANARA #HajiManara #Yanga #Simba #CountryBoy #Mwijaku #Raisi_Samia #Mama_Samia #SHAMSA_FORD #ShamsaFord #Harmonize #HARMONIZE #HARMONIZE #ALIKIBA #MANGE_KIMAMBI #MangeKimambi #Simba #Yanga #Zuchu #Wanawake #DIAMOND_PLATNUMZ #DiamondPlatnumz #Diamond_Platnumz #RUBY #Ruby #LAVALAVA #BARNABA #RAISI_SAMIA#Raisi_samimia #ikulu #ikulu_daressalaam #LULU_DIVA #Lavalava #LuluDiva #HAMISA_MOBETTO #Hamisa_Mobetto #Uno#KARIAKOO #SOKO_DSM #MKUU_MKOA_DSM #SOKO_KKOO #IRENE_UWOYA #Irene_Uwoya #IreneUwoya #Shorts #SinaBahati #Angella #CHENI #RAYVANNY #DJDOMMY #MOTO #KIJANA #ANGELLA #MAKE_UP #KONDEGANG #MAMA_DANGOTE #MamaDangote #Mama_DiamondPlatnumz #mbosso #PAULA #KAJALA #RAYVANY #RollsRoyce #Lamboghin #Bentley #ROLLS_ROYCE #ROLLSROYCE #DULLAMAKABILLA #MANFONGO #DullaMakabila #Ndoa #MWIJAKU #Mwijaku #MOTO_KARIAKOO #WAFANYA_BIASHARA #SOKO_KARIAKOO #ILALA #MBUNGE_ILALA #SOKO_KARIAKOO #MOTO_SOKO_KARIAKOO #MWIJAKU#HAMISAMOBETTO #HAMISA_MOBETTTO #MANIFONGO #HARMONIZE #LAVALAVA #KIKI #MAREKANI #USA #Harmonize #Alikiba #Zuchu #DiamondPlatnumz #INNOSS'B #Innoss'B #Jux #Juma_Jux #MIRIAMODEMBA #Miriam_Odemba #ZARI_THE_BOSSLADY #THE_DARK_STALLION #Zari_Kingbae #HAJI_MANARA #HajiManara #Yanga #Simba #CountryBoy #Mwijaku #Raisi_Samia #Mama_Samia #SHAMSA_FORD #ShamsaFord #Harmonize #HARMONIZE #HARMONIZE #ALIKIBA #MANGE_KIMAMBI #MangeKimambi #Simba #Yanga #Zuchu #Wanawake #DIAMOND_PLATNUMZ #DiamondPlatnumz #Diamond_Platnumz #RUBY #Ruby #LAVALAVA #BARNABA #RAISI_SAMIA#Raisi_samimia #ikulu #ikulu_daressalaam #LULU_DIVA #Lavalava #LuluDiva #HAMISA_MOBETTO #Hamisa_Mobetto #Uno#KARIAKOO #SOKO_DSM #MKUU_MKOA_DSM #SOKO_KKOO #IRENE_UWOYA #Irene_Uwoya #IreneUwoya #LINNAH #LINNAH_SANGA



Msikie 'Clatous Chama' baada ya kupokea RAMBIRAMBI za mashabiki
Msikie 'Clatous Chama' baada ya kupokea RAMBIRAMBI za mashabiki

Kiungo wa simba Clatous Chama akitoa shukrani kwa mashabiki wa Simba kwa kumtolea rambirambi baada ya kufiwa na mkewe wiki chache zilizopita.



SIMBA vs KAIZER: Kikosi Kitakachoanza ( Predicted Line-up ).
SIMBA vs KAIZER: Kikosi Kitakachoanza ( Predicted Line-up ).

#lineup #Simba #cafCL CHANGIA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA UZAISHAJI VYA SOCCERDATA SoccerData imekuwa ikikutana na Cahngamoto nyingi katika uandaaji wa kazi zake ukiwemo uchambuzi huu kutokana na uduni wa vifaa vilivyopo, Kama shabiki wa SoccerData na Mdau wa soka Nchini, Saidia SoccerData kufanya kazi nzuri Zaidi, na kwa wakati kwa kuchangia Upatikanaji wa Vifaa vya Uzalishaji ikiwemo Kamera, Laptop na vinginevyo, Chakufanya Changia kupitia namba zifuatazo: TIGOPESA: 0710 679 388 HALOPESA: 0627 532 401 Natanguliza Shukrani..



KAIZER vs SIMBA: Takwimu Zinasemaje?
KAIZER vs SIMBA: Takwimu Zinasemaje?

#Simba #Kaizer #CafCL CHANGIA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA UZAISHAJI VYA SOCCERDATA SoccerData imekuwa ikikutana na Cahngamoto nyingi katika uandaaji wa kazi zake ukiwemo uchambuzi huu kutokana na uduni wa vifaa vilivyopo, Kama shabiki wa SoccerData na Mdau wa soka Nchini, Saidia SoccerData kufanya kazi nzuri Zaidi, na kwa wakati kwa kuchangia Upatikanaji wa Vifaa vya Uzalishaji ikiwemo Kamera, Laptop na vinginevyo, Chakufanya Changia kupitia namba zifuatazo: TIGOPESA: 0710 679 388 HALOPESA: 0627 532 401 Natanguliza Shukrani..




Next »


Popular Tags

#Amazing Solo Goals  #Zlatan Ibrahimovi  #Stephen Curry  #Goalkeeper Saves  #Mesut Ozil  #Counter Attack Goals Football  #Best Goals Ever  #Neymar  #Paul Pogba  #Sergio Aguero  

Popular Users

#espn  #cesc4official  #narendramodi  #shakira  #RSherman_25  #CP3  #KDTrey5  #blakegriffin23  #criscyborg  #TheNotoriousMMA  #steveaustinBSR  #katzm  #nfl