π¨ ππππππππ ππππ :ποΈ R I P JAYDEN ADAMS ( 25 ) π’Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. π£οΈπ Ripoti zinasema Jayden Adams aliingia bafuni Kwake, akafunga mlango na kujinyonga. SAUTI @farhankiham KAMFOLOW INSTAGRAM
Je, rais wa Marekani anaweza kubadili adhabu ya Kombe la Dunia? Hilo ndilo swali linalotikisa dunia ya soka. Baada ya mshambuliaji wa Marekani Folarin Balogun kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Bosnia alitakiwa kukosa mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Ubelgiji. Mwandishi wa BBC Nasteha Mohamed @naste6295 na taarifa zaidi - - #bbcswahili #kandanda #kombeladunia2026 #foryouγ· Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
MWAKINYO AFUNGUKA ALIVYOKUTANA NA CRAWFORD NCHINI MAREKANI "NILICHEZA NAE SPARINGI" #hassanmwakinyo #boxing #boxinghighlights #boxingnewsnow
Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin,wanakutana baadaye hii leo katika kambi ya kijeshi huko ...
Mwili wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji, umezikwa usiku huu Orlando, Florida nchini Marekani baada ya kuswaliwa katika Msikiti Al Hayy. Manji alifariki dunia akiwa hospitalini nchini Marekani, ikiwa ni miezi miwili tangu alipofanya mahojiano marefu na Mwananchi Dijital akiwa jijini Dar es Salaam.
C.E.O Manara TV Haji manara bado anaendelea na ziara zake nchini Marekani amekutana na Mtanzania anaecheza ligi kuu nchini Marekani Benard Kamongo ameweka wazi furaha yake kucheza ligi moja na nyota Lioner Messi huku akiweka wazi wachezaji anaowapenda nchini Tanzania kwenye upande wa Ligi kuu ya NBC.