Simba 1-0 Primeiro de Agosto | Highlights | CAF Champions League 16/10/2022
Simba 1-0 Primeiro de Agosto | Highlights | CAF Champions League 16/10/2022

Simba SC imefuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1 baada ya leo kuichapa CD Primeiro de Agosto baoa 1-0 katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli pekee la Simba kwenye mchezo wa leo limetoka kwenye guu la Moses Phiri dakika ya 33.



#LIVE: SIMBA SC vs AL AHLY ( 1- 0 ) - LIGI ya MABINGWA AFRIKA, UWANJA wa MKAPA DSM..KIPINDI CHA PILI
#LIVE: SIMBA SC vs AL AHLY ( 1- 0 ) - LIGI ya MABINGWA AFRIKA, UWANJA wa MKAPA DSM..KIPINDI CHA PILI

Ahsante kwa kuwa mwana familia, wa Jraww Tz kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza..Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu. Follow on Instagram: https://www.instagram.com/jrawwtz/ Follow us on Facebook: https://web.facebook.com/jraww255 Note:👇 Jraww Tz, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa. Tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na mshauri na mwenzako pia Tufuatilie kwenye social media na application zetu hapa 👇 👉Download Game Letu Pendwa hapa: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.games.jrawwroleforhole 👉Application Bomba ya Muziki na KUdownload hii hapa: https://bit.ly/3mGumqb 👉PITIA TOVUTI YETU: http://jrawwmusic.com/ 👉VISIT AMAZON: http://www.amazon.com/shop/jrawwphotography 👉GET YOUR VIDEO VIEWS: https://sprizzy.com/?ref=jrawwtz 👉TAFADHALI USISAHAU KUSUBSCRIBE KUPATA HABARI ZETU KILA MUDA/DO NOT FORGET TO SUBSCRIBE TO GET MORE VIDEOS #Simbafc #Alahy #MabingwaAfrika #live



TAZAMA BALAA LA  LUIS MIQUISSONE NA GOLI LA KIDEO DHIDI YA AL AHLY
TAZAMA BALAA LA LUIS MIQUISSONE NA GOLI LA KIDEO DHIDI YA AL AHLY

#LuisMiquissone#Simbasc#ALAhly#Kombela mabingwaAfrika TAZAMA BALAA LA LUIS MIQUISSONE NA GOLI LA KIDEO DHIDI YA AL AHLY





Popular Tags

#Anthony Davis  #Mesut Ozil  #Russell Westbrook  #Football Skills  #Luis Suarez  #Amazing Solo Goals  #Cleveland Cavaliers  #Neymar  #Football Defensive Skills  #Thomas Muller  

Popular Users

#ochocinco  #BringerOfRain20  #KingJames  #TimTebow  #OleksiakPenny  #BizNasty2point0  #rioferdy5  #fauxpelini  #Drake  #normmacdonald  #StephenCurry30  #wizkhalifa  #SrBachchan