Rais Kenyatta atuma ujumbe maalum Tanzania kuhusu matamshi ya chuki ya Jaguar
Rais Kenyatta atuma ujumbe maalum Tanzania kuhusu matamshi ya chuki ya Jaguar

Serikali ya Kenya imetuma ujumbe maalumu kwa Rais Dkt. John Magufuli unaoelezea msimamo wa Serikali ya nchi hiyo kuhusu kukerwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Mbunge wa jimbo la Starehe, Charles Njagua Kanyi maarufu kwa jina la Jaguar. #AzamNews #UTV #AzamTVUpdates

SIMBA VS BIASHARA:  KIKOSI cha Maangamizi Kilichoanza TAIFA Leo
SIMBA VS BIASHARA: KIKOSI cha Maangamizi Kilichoanza TAIFA Leo

SIMBA VS BIASHARA: KIKOSI cha Maangamizi Kilichoanza TAIFA Leo KIKOSI cha Simba leo kitakabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu huu baada ya kuibuka mabingwa huku wakitua dimbani kucheza na Biashara United. Simba inayoongoza ligi ikiwa na pointi 91 inachukua ubingwa ka mara ya pili mfululizo huku ikiwaacha wapinzania wao Yanga katika nafasi ya pili ya msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara. #SIMBASCBINGWA #BIASHARAUNITED Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

HAPATOSHI TAIFA! Simba Kukabidhiwa Kombe Wakikipiga na Biashara UTD
HAPATOSHI TAIFA! Simba Kukabidhiwa Kombe Wakikipiga na Biashara UTD

HAPATOSHI TAIFA! Simba Kukabidhiwa Kombe Wakikipiga na Biashara UTD KIKOSI cha Simba leo kitakabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu huu baada ya kuibuka mabingwa huku wakitua dimbani kucheza na Biashara United. Simba inayoongoza ligi ikiwa na pointi 91 inachukua ubingwa ka mara ya pili mfululizo huku ikiwaacha wapinzania wao Yanga katika nafasi ya pili ya msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara. #SIMBASCBINGWA #BIASHARAUNITED Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

SIMBA SC 2-0 NDANDA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/05/2019)
SIMBA SC 2-0 NDANDA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/05/2019)

Simba SC imebakiza pointi mbili katika michezo mitatu iliyosalia kutetea taji lake la Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Ndanda SC kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufikisha pointi 88 kileleni mwa msimamo wa ligi. Mabingwa hao watetezi wamepata ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa na Meddie Kagere ndani ya dakika kumi, akianza dakika ya 6 kwa pasi ya John Bocco, kisha dakika ya 11 kwa pasi ya Clatous Chama. Mabao hayo yamemfanya Kagere kufikisha jumla ya magoli 22 kwenye ligi kuu msimu huu, akimuacha kwa mbali mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo na mshambuliaji wa Mwadui FC Salim Aiyee wenye magoli 16 kila mmoja, huku Emmanuel Okwi na John Bocco wa Simba pia wakiwa nyuma yao na mabao 15 kila mmoja. Baada ya mchezo wa leo, Simba inasafiri kwenda mjini Singida ambako itacheza na Singida United Jumanne ya Mei 21, 2019, na endapo watapata ushindi basi shughuli itakuwa imekwisha msimu huu kwani watakuwa wamefikisha pointi 91 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu yoyote. Kwa upande wao Ndanda SC wameendelea kubaki kwenye nafasi yao ya nane wakiwa na pointi 47 na wamekiza mechi mbili ambzo zote watacheza nyumbani kwao Mtwara.

AFRICAN LYON 2-2 MBEYA CITY: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (18/05/2019)
AFRICAN LYON 2-2 MBEYA CITY: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (18/05/2019)

Timu ya African Lyon ambayo tayari imeshuka daraja, imejiongezea pointi moja baada ya kutoka sare na Mbeya City, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Lyon ndiyo waliotangulia kupata mabao yote mawili kupitia kwa Musht Bartoz dakika ya 21 na Awadhi Juma dakika ya 45+2 lakini Mbeya City walitumia dakika kumi za mwisho kusawazisha kupitia kwa Victor Hangaya dakika ya 82 na Mohamed Kapeta dakika ya 90+5. Matokeo hayo yameifanya Lyon kufikisha pointi 23 ikiwa mkiani mwa msimamo wa ligi huku Mbeya City ikifikisha pointi 47 na kupanda kwa nafasi moja hadi nafasi ya saba sawa na Ndanda SC ambayo imeshuka hadi nafasi ya nane.

MAGOLI YOTE: AFRICAN LYON 2-2 MBEYA CITY (TPL - 18/05/2019)

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI  -  AZAM TV     16/5/2019
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 16/5/2019

Simba SC yarejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania kwa ushindi wa kishindo dhidi ya Mtibwa Sugar na Heritier Makambo "achomoka" Yanga SC na kukimbilia Afrika Magharibi. Kwa hayo na mengine mengi ungana na Fatma Abdallah Chikawe kwenye Mshikemshike Viwanjani.

SIMBA SC 3-0 MTIBWA SUGAR: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 16/05/2019)
SIMBA SC 3-0 MTIBWA SUGAR: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 16/05/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya leo kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Walioitafuna miwa ya Mtibwa kwenye mchezo huo uliokuwa mzuri na wa kuvutia, ni John Bocco dakika ya 33, Clatous Chama dakika ya 48 na Emmanuel Okwi dakika ya 56. Ushindi huo umefanya Simba ifikishe pointi 85 na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwaacha Yanga kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi 83 wakati Mtibwa Sugar wakisalia kwenye nafasi ya tano na pointi 49.

« Previous Next »

Popular Tags

#Mesut Ozil  #Lionel Messi  #Best Ball Controls  #Best Football Defending Skills  #Shaquille O'Neal  #Derrick Rose  #Sergio Aguero  #Boston Celtics  #Tristan Thompson  #Miami Heat  

Popular Users

#KevinHart4real  #SteveNash  #StephenCurry30  #cnnbrk  #ochocinco  #shakira  #billsimmons  #oldhossradbourn  #rogerfederer  #JoelEmbiid  #richarddeitsch  #TimTebow  #Buster_ESPN  #elonmusk  #RobGronkowski