Klabu ya soka ya Simba inapata ushindi dhidi ya timu ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Ya Vodacom Tanzania Bara mwaka 2020 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 57 na Ibrahim Ajibu Migomba dakika ya 90+5 huku goli ya Timu ya Polisi Tanzania likifungwa na Basoli kunako dakika ya 23. Katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara Mabingwa wa ligi Kuu Tanzania bara Klabu ya soka ya Simba Sc inazidi kuongoza ikiwa nafasi ya kwanza katika Vodacom Premier League. MAGOLI YOTE SIMBA SC 2-1 POLISI TANZANIA #Simbascvspolisitanzania #GrobalTV, #Muugwanatv, #AzamTV, #Simba2vspolisiTanzania1, #GorilaajibuleovspolisiTanzania, #SimbascvspolisiTanzania(2-1)angaliaMAGORIhapa, #SIMBASC2VS1POLISITANZANIATAZAMA|MAGORIYOTESIMBAVSPOLISITANZANIALEO, #SimbascvspolisiTanzaniahighlightsandgoals, #Simbasc, #MAGORI, #LIVE, #MAGOLIYOTE:SIMBASC2-1POLISITANZANIA, #Simba, #Sc, #2-1, #Polisi, #Tanzania, #Simbasc2-1polisitanzania, #LIVE, #MAGOLIYOTE:SIMBASC2-1POLISITANZANIA, #GrobalTV, #Muugwanatv, #AzamTV, #Simba2vspolisiTanzania1, #GorilaajibuleovspolisiTanzania,#SimbascvspolisiTanzania(2-1)angaliaMAGORIhapa,#SIMBASC2VS1POLISITANZANIATAZAMA|MAGORIYOTESIMBAVSPOLISITANZANIALEO,#SimbascvspolisiTanzaniahighlightsandgoals,#Simbasc,#MAGORI
Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Simba yamefungwa na Hassan Dilunga dakika ya 42, na Jonas Mkude dakika 47 huku bao pekee la Mbao likifungwa na Wazir Junior dakika ya 53. Tazama magoli yenyewe. Simba wamefikisha alama 38 kileleni mwa msimamo wa VPL na Mbao FC, wameendelea kuwepo nafasi ya 14 wakiwa na alama 18.
Kikosi cha Simba SC kimeongeza wigo wa pointi kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Ndanda FC. Magoli ya Francis Kahata na Deo Kanda kwenye kila kipindi ndiyo yaliyoipa Simba SC ushindi huo huku nahodha wake John Bocco akirejea baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha. Simba SC itakutana na wapinzani wake wa jadi Yanga SC kwenye dimba la Taifa Januari 4 kwenye mchezo mwingine wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania.
Timu ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars imepoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Cecafa Senior Challenge baada ya kukubali kufungwa bao 1-0 na Kenya kwenye mchezo uliochezwa katika uwanja wa KCCA nchini Uganda. Katika mchezo huo Kenya walifanikiwa kupata bao la mapema ambalo lilifungwa dakika ya 4 na Abdallah Hassan na kudumu hadi mchezo unamalizika. Kilimanjaro Stars walipambana kuhakikisha wanasawazisha bao hilo kwa kufanya mabadiliko mbalimbali ya kiufundi lakini jitihada zao ziligonga mwamba kutokana na umakini wa timu ya Kenya ambao walicheza kwa tahadhari kubwa kulinda bao lao. Kwa matokeo hayo Kilimanjaro Stars inashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa kundi B ikifuatiwa na Sudan na Zanzibar Heroes huku Kenya wakiongoza kundi hilo.
KOSAKOSA za SIMBA VS TZ PRISONS 0 - 0, KAGERE Ashindwa Kufurukuta Kikosi cha Simba kimeshindwa kutamba mbele ya Tanzania Prisons leo kunako Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam baada ya kulazimishwa suluhu ya kutofungana. Suluhu hiyo imewafanya Simba kugawana alama moja moja na Prisons ambao mpaka sasa hawajapoteza mchezo wowote kwenye ligi. Alama hiyo moja imewafanya Simba kuendelea kukaa kileleni wakiwa na alama 22 huku wakiwa wamepoteza mchezo mmoja mpaka sasa. Prisons mpaka sasa imecheza jumla ya mechi 11 na wakienda sare michezo saba huku wakishinda nne na wakiwa na alama 19 kwenye nafasi ya pili ya msimamo wa ligi. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
KOCHA TZ PRISONS "HUWEZI kucheza Ukiwa Legelege SIMBA Timu Bora" Kikosi cha Simba kimeshindwa kutamba mbele ya Tanzania Prisons leo kunako Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam baada ya kulazimishwa suluhu ya kutofungana. Suluhu hiyo imewafanya Simba kugawana alama moja moja na Prisons ambao mpaka sasa hawajapoteza mchezo wowote kwenye ligi. Alama hiyo moja imewafanya Simba kuendelea kukaa kileleni wakiwa na alama 22 huku wakiwa wamepoteza mchezo mmoja mpaka sasa. Prisons mpaka sasa imecheza jumla ya mechi 11 na wakienda sare michezo saba huku wakishinda nne na wakiwa na alama 19 kwenye nafasi ya pili ya msimamo wa ligi. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba wamefuta uteja mbele ya Kagera Sugar baada ya kuvuna alama tatu uwanjani Kaitaba kufuatia ushindi wa mabao 3-0 walioupata jioni ya leo. Magoli ya Simba yamefungwa na Medie Kagere aliyefunga mawili dakika ya 4 na 79 kwa penati huku bao lingine likifungwa na beki Mohamed Hussein Zimbwe Jr. dakika 36. Medie Kagere anazidi kujikita kileleni mwa msimamo wa wafungaji akiongeza kibindoni mabao mawili kwenye mchezo huo na kufikisha mabao matano mpaka sasa. Mchezo kati ya Kagera Sugar na Simba ni miongoni mwa mechi zenye msisimko mkubwa kutokana na rekodi mbaya ya Simba msimu uliopita akikubali kipigo cha nyumbani na ugenini kutoka kwa Wanankurukumbi. Mbali na kupata ushindi huo pia wekundu wa msimbazi rasmi wameishusha Kagera Sugar kutoka katika uongozi wa msimamo wa ligi kutokana na utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa.