MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA"..
MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA"..

MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA".. MCHAMBUZI wa Soka, Mwalimu Kashasha amesema kuwa mchezo wa Simba SC vs Tz Prison ni kipimo kizuri kwa klabu ya Simba ambayo inakwenda kukipiga na Al Merrikh wikiend hii.. Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili kati ya, SIMBA SC vs TANZANIA PRISONS, umechezwa leo Machi 10, katika dimba la Mkapa jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa sare ya mabao ( 1- 1), ambapo wajelajela walitangulia kupitia kwa Salum Kimenya na baadae Simba wakasawazisha kupitia kwa Luis Miqquisone... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



🔴#LIVE​​​​​​​​​​​: MANARA Amlipua SENZO, Afunguka SIMBA Kuwafungulia YANGA KESI, Amkubali FEI TOTO..
🔴#LIVE​​​​​​​​​​​: MANARA Amlipua SENZO, Afunguka SIMBA Kuwafungulia YANGA KESI, Amkubali FEI TOTO..

🔴#LIVE​​​​​​​​​​​: MANARA Amlipua SENZO, Afunguka SIMBA Kuwafungulia YANGA KESI, Amkubali FEI TOTO.. Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, ametinga kwenye studio za Global Radio leo Februari 24, ikiwa ni siku moja tu imepita baada ya jana kuwafunga Al Ahly katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



MKUDE AONDOKA na SIMBA SC kwenda CONGO Kuivaa AS VITA, CHIKWENDE AACHWA DAR...
MKUDE AONDOKA na SIMBA SC kwenda CONGO Kuivaa AS VITA, CHIKWENDE AACHWA DAR...

MKUDE AONDOKA na SIMBA SC kwenda CONGO Kuivaa AS VITA, CHIKWENDE AACHWA DAR... KIKOSI cha SIMBA SC kimeondoka leo Februari 09, kuelekea nchini DRC Congo kwa ajili ya mchezo wao wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita, utakaochezwa Februari 12... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



HAJI MANARA ATAMBA KUIFUNGA YANGA FINALI MAPINDUZI
HAJI MANARA ATAMBA KUIFUNGA YANGA FINALI MAPINDUZI

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Nyota ya Miraji Athuman na Meddie Kagere imeendelea kung'ara kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo wameisaidia timu kuvuka hatua ya fainali ambapo sasa watacheza na Yanga Jumatano Januari, 13. Yanga imefuzu kwenye nusu fainali ilipocheza na Azam FC na kuibuka na ushindi wa penalti 5-4 baada ya matokeo ya dakika 90 zikimaliza kwa sare ya bao 1-1. Fainali hizo zitachezwa keshokutwa Jumatano kwenye Uwanja wa Amaan kisiwani hapa. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Goli la 2/ Simba SC VS Namungo FC/ Goli la Miraji Athuman/ Mapinduzi Cup 2021/ Zanzibar
Goli la 2/ Simba SC VS Namungo FC/ Goli la Miraji Athuman/ Mapinduzi Cup 2021/ Zanzibar

Goli la pili la Simba SC SIMBA SC VS NAMUNGO FC GOLI LA MIRAJI ATHUMAN SHEVA #MAPINDUZICUP #KOMBELAMAPINDUZI #SHEVA #SIMBASC #NAMUNGO #MIRAJIATHUMAN #SIMBANANAMUNGO #GOLILA2



Goli la 2/ Simba SC VS Mtibwa Sugar/ Goli la Miraji Athuman/ Mapinduzi Cup 2021/ Zanzibar
Goli la 2/ Simba SC VS Mtibwa Sugar/ Goli la Miraji Athuman/ Mapinduzi Cup 2021/ Zanzibar

GOLI LA PILI LA SIMBA SC SIMBA SC VS MTIBWA SUGAR GOLI LA MIRAJI ATHUMAN MAPINDUZI CUP 2021/ ZANZIBAR #SIMBASC #MTIBWASUGAR #MIRAJIATHUMAN #MAPINDUZICUP #KOMBELAMAPINDUZI #ZAMZIBAR #MTIBWANASIMBA #SIMBANAMTIBWA #MAGOLIYOTE #GOLILA2





Popular Tags

#Neymar  #Paul George  #Amazing Solo Goals  #Los Angeles Lakers  #Counter Attack Goals Football  #Cleveland Cavaliers  #Anthony Davis  #New York Knicks  #Stephen Curry  #Thomas Muller  

Popular Users

#Oprah  #KimKardashian  #nfl  #MichelleDBeadle  #GNev2  #josecanseco  #SteveNash  #JasonDufner  #DeionSanders  #cesc4official  #OleksiakPenny  #Kaepernick7  #itsBayleyWWE  #lindseyvonn