KUTOKA ISMAILIA: “Mwaka jana Fadlu alikuwa ni mgeni lakini mwaka huu ameshakuwa mwenyeji na ameshajua karibu wachezaji wote” Kocha msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola amesema ushindani ni mkubwa ndani ya kikosi hicho kwasababu kila mchezaji anataka kuonesha uwezo wake. Matola pia ametoa ratiba ya kikosi hicho watakapofika jijini Cairo. Mchezaji Saleh Karabaka anasema kuingia kwenye maji yenye barafu ni shughuli nzito kwake, ni lazima pawepo watu watatu kumshika. Wachezaji wengine waliozungumzia maendeleo ya kambi hiyo ni pamoja na Bajaber Mohamed, Morice Abraham pamoja na Hussein Abel ambaye amefichua namna wachezaji ‘walivyoamka’ kambini. #Simba
#Yanga #football #simbasc #tff
Baada ya Msimu wa Ligikuu kutamatika hii leo, Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amezungumza na Watanzania kwa mara ya kwanz na kutoa maoni yake n uchambuzi juu ya vile ameutazama msimu na wachezaji ambao wamemvutia zaidi. #hajimanara #manaratv #yangasc #azizki #alikamwe #ahmedally #simbasc #azamfc #ligikuu #nbc #tff #ubingwa #wachezaji #michezo #burudani #raisheri #injinia #modewij #babra #mangungu #gamondi #gsm #matola #mgunda #mvp #pacome #yao #topscorer Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
SUBSCRIBE NOW: ▶https://t.ly/uwYW7 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: https://apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi