SELEMAN MWALIMU AMWAGA MACHOZI UWANJANI AKISIMULIA SAFARI YA MAISHA YAKE
SELEMAN MWALIMU AMWAGA MACHOZI UWANJANI AKISIMULIA SAFARI YA MAISHA YAKE

Moshi. Mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Selemani Mwalimu, ameshindwa kuzuia hisia zake na kuangua kilio wakati wa hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Mandela uliopo kata ya Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, iliyoandaliwa kuelekea kuanza kwa michuano ya Zuberi Cup 2026. Mwalimu amelia alipokuwa akisimulia maisha magumu aliyopitia kabla ya kufanikiwa katika soka, akisema uwanja huo una kumbukumbu nyingi za safari yake ya kutafuta mafanikio. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Moshi, Mwalimu amesema akiwa pamoja na rafiki yake, Maulid, walikuwa wakifika uwanjani hapo usiku wa manane kufanya mazoezi licha ya kukosa vifaa muhimu, wakiamini siku moja ndoto zao zingetimia. "Huu uwanja una historia kubwa sana kwenye maisha yangu. Mimi na mshikaji wangu Maulid tuliteseka sana hapa. Kuna kipindi tulikuwa tunakuja kufanya mazoezi usiku wa manane tukiwa hatuna hata viatu, tukiamini ipo siku tutatoboa. Kurudi hapa leo nikiwa hivi, siamini macho yangu. Namshukuru Mungu sana," amesema Mwalimu huku akifuta machozi. Kauli yake iliyoambatana na kilio imegusa wengi waliohudhuria hafla hiyo, huku baadhi wakimshangilia na wengine wakionekana kuguswa na simulizi hiyo ya maisha yake.



MAONI YA WADAU KUELEKEA  FAINALI SIMBA VS BARKANE
MAONI YA WADAU KUELEKEA FAINALI SIMBA VS BARKANE

#SimbaSC #YangaSC #TanzaniaFootball #LigiKuuTanzania #Kilimanjaro #TanzaniaSports #BongoFlava #TanzaniaSport #ZanzibarFootball #TwigaStars #KilimanjaroPremierLeague #VPL #TanzaniaFootballFans #TanzaniaNationalTeam #TanzaniaSportsNews #SimbaVsYanga #MichezoTanzania #SportsTanzania #footballtanzania



JOSHUA MUTALE BAADA YA MECHI DHIDI YA KILIMANJARO WONDERS
JOSHUA MUTALE BAADA YA MECHI DHIDI YA KILIMANJARO WONDERS

SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi



🚨LIVE : SIMBA SC 6 VS  0 KILIMANJARO WONDERS,  KIVUMBI LEO CRDB FEDERATION CUP
🚨LIVE : SIMBA SC 6 VS 0 KILIMANJARO WONDERS, KIVUMBI LEO CRDB FEDERATION CUP

🚨LIVE: SIMBA VS KILIMANJARO WONDERS, KIVUMBI LEO CRDB FEDERATION CUP



Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | Magoli | CRDB Bank FA Cup - 26/01/2025
Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | Magoli | CRDB Bank FA Cup - 26/01/2025

Tazama magoli yote sita waliyofunga Simba SC kwenye mchezo wa hatua ya 64 bora ya CRDB Bank Federation Cup Simba imeshinda kwa jumla ya magoli 6-0, wafungaji ni Valentino Mashaka, Ladack Chasambi, Joshua Mutale, Stephen Mukwala, Edwin Balua na goli la kujifunga la Patrick Sebastian



🔴#Live: SIMBA SC ( 6 ) VS KILIMANJARO SC (  0  ) - CRDB FEDERATION CUP - KMC COMPLEX I DAR
🔴#Live: SIMBA SC ( 6 ) VS KILIMANJARO SC ( 0 ) - CRDB FEDERATION CUP - KMC COMPLEX I DAR

🔴#Live: SIMBA SC ( 6 ) VS KILIMANJARO SC ( 0 ) - CRDB FEDERATION CUP - KMC COMPLEX I DAR JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO https://chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




Next »


Popular Tags

#Kobe Bryant  #Shaquille O'Neal  #Stephen Curry  #Cleveland Cavaliers  #James Harden  #Football Defensive Skills  #Gareth Bale  #Best Goals  #Russell Westbrook  #Michael Jordan  

Popular Users

#imVkohli  #josecanseco  #themichaelowen  #serenawilliams  #BMcCarthy32  #SrBachchan  #iamsrk  #billbarnwell  #blakegriffin23  #Drake  #fauxpelini  #RobGronkowski  #narendramodi