HIGHLIGHTS | DODOMA JIJI FC 0-0 SIMBA | NBC Premier League 25/02/2026
HIGHLIGHTS | DODOMA JIJI FC 0-0 SIMBA | NBC Premier League 25/02/2026

Tazama highlights jinsi Simba walivyobanwa mbavu na kulazimishwa suluhu na Dodoma jiji, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania ukipigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.



DOUMBIA NA ECUA WAONYESHWA VIDEO ZA MPANZU. WATOA AHADI KUMMALIZA #simba #yanga  #wananchi #football
DOUMBIA NA ECUA WAONYESHWA VIDEO ZA MPANZU. WATOA AHADI KUMMALIZA #simba #yanga #wananchi #football

Doumbia na Celestine Ecua wamepewa maelekezo muhimu kuhusu **Dabi ya Kariakoo** kati ya **Simba SC na Yanga SC**. Wachezaji hawa wapya wa Yanga wanatarajiwa kuleta nguvu mpya kwenye kikosi, na mashabiki wanataka kujua jinsi watakavyoonesha uwezo wao katika mechi kubwa zaidi Tanzania. In this video, we break down what Doumbia and Ecua need to know about the fierce rivalry between **Simba vs Yanga**. From history, passion, to expectations of the fans – this is more than just football, it’s about pride, tradition, and victory. Stay tuned for more updates on **Tanzania football**, **Yanga transfers**, and **Simba vs Yanga highlights**. Don’t forget to like, share, and subscribe for exclusive football content! - Doumbia Yanga SC - Celestine Ecua Yanga signing - Doumbia na Ecua Yanga - Simba vs Yanga dabi ya Kariakoo 2025 - Usajili mpya Yanga SC - Tanzania football derby - Kariakoo derby highlights - Simba Yanga rivalry - Yanga SC new players - NBC Premier League Tanzania `#YangaSC #SimbaSC #DabiYaKariakoo #Doumbia #Ecua #UsajiliMpya #YangaNewSignings #SimbaVsYanga #TanzaniaFootball #NBCPremierLeague #YangaVsSimba #KariakooDerby `



Yanga yatoa siri jinsi ilivyomnasa kiungo Moussa Balla Conte
Yanga yatoa siri jinsi ilivyomnasa kiungo Moussa Balla Conte

“…tuliweka kiwango kizuri cha fedha kumshawishi mchezaji na klkabu yake” Nneno la Ally Kamwe kuhusu usajili wa kiungo Moussa Balla Conte ambaye leo ametua rasmi Jangwani kwa mkataba wa miaka mitatu… Kamwe ameeleza jinsi ilivyokuwa ngumu kumpata na jinsi walivyoweza kumshawishi yeye na klabu yake licha ya kuwa na ofa nyingi….. Kuhusu hatma ya Khalid Aucho, Kamwe amesema majibu yatatoka Julai 20 baada ya kupokea ripoti ya CEO wa klabu hiyo… Mwisho, Ally Kamwe anatoa ujumbe kwa walioumizwa na usajili huo akiomba kusajiliwa na timu inayohitaji mchezaji mwenye jina la Conte…. #YangaSC #Usajili #BallaConte



#NK|  MECHI YA SIMBA LIVE KWA IHSANI YA NK_ARAB
#NK| MECHI YA SIMBA LIVE KWA IHSANI YA NK_ARAB

#NK| MECHI YA SIMBA LIVE KWA IHSANI YA NK -------------- Jifunze JINSI YA KUTENGENEZA APP ZA SIMU KUTOKEA ZIRO |Create Mobile Apps for free 2023, leo ni mwanzo wa JINSI YA KUTENGENEZA APP ZA SIMU KUTOKEA ZIRO |Create Mobile Apps for free 2023, itakuwa ni kozi kamili iliosheheni. SOMO LA KWANZA: https://youtube.com/live/8CnZ5zNMOYE ----------- KUJIUNGA NA KOZI ZETU mbalimbali au kuwasiliana nasi ingia hapa: https://myurls.co/nk ----------- How to Make an Android App for Beginners 3 in 1| Fanya simu kuwa scanner ya Supermarket| Tengeneza mfumo wa Mauzo| Rudisha Chenji Automatic How To Create A Powerful Point Of Sale (POS) Application In Excel [Full Training & Free Download] JIFUNZE KUSHUSHA WINDOWS JIFUNZE UFUNDI WA COMPUTER JINSI YA KUPIGA au KUWEKA WINDOWS (Windows Installation) | KOZI YA UFUNDI WA COMPUTER (Maintenance) JINSI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER/PC/LAPTOP TOSHIBA,/Hp/LENOVO/DELL/ACCER/SAMSUNG How To Take Screen Shots On A Laptop. !!!!EASY!!!!! 'Print Screen' Screen Capture On Windows Computer (Screenshot on Windows 10, 8, 7) jifunze compyuta bila mwalimu (introduction to computer) part 1 JIFUNZE KU-TYPE KWA SPEED UNAPOTUMIA COMPUTER YAKO, KWA KAZI ZA KIOFISI NA BINAFSI Introduction to computer (Basic Concept) - Imetafsiriwa kiswahili/Zilizotafsiriwa kwa kiswahili learn to code program (Jifunze kutengeneza Mifumo ya computer) Jinsi ya kuangalia ubora wa computer kabla ya kununua Jinsi ya kuweka window kwenye computer - Mdaki Junior Jifunze kutumia Microsoft Word, Ongeza ujuzi jinsi ya Kuandaa document za kiofisi Jifunze Microsoft Word Kwa Kiswahili Jifunze computer kwa kiswahili how to screenshot on pc windows 10 how to screenshot on laptop hp How to Install Windows 10 from a USB Flash Drive How to Reinstall/Clean Install Windows 10 How to Repair a DEAD Computer How to Install Windows 10 for Free on a New PC how to enable print screen in windows 10 prtscn key Computer Basics: Hardware JINSI YA KUPIGA WINDOWS HOW TO INSTALL WINDOWS 7 FULL TUTORIAL HD HATUA KWA HATUA JINSI YA KUPIGA WINDOW 7 KWENYE PC/COMPUTER YAKO Jinsi ya kupiga window yeyote kwa urahisi ukitumia cd/dvd. We fix Live :Jinsi ya kupiga window kwa kutumia Flash Jinsi ya ku install window 7 kwenye pc Jinsi ya kupiga window yeyote kwa urahisi ukitumia flash #JINSI YA KUPIGA WINDOWS VISTA/7/8/8.1/10. Simple way to make bootable flash and install window. Jinsi ya kupiga window 7,8 na 10 hatua za windows zote How to Install and Partition Windows 7 Jinsi ya kupiga window yeyote kwa urahisi ukitumia flash How to Install Windows 8 or 8.1 Using DVD [ IN HINDI ] JINSI YA KUTENGENEZA USB BOOTABLE FLASH YA WINDOWS ZOTE. Jinsi ya kuangalia ubora wa computer kabla ya kununua Jinsi ya ku update Windows kompyuta njinsi ya kupiga window kwenye pc or compyuta Jinsi ya Kupiga Window Computer bila CD wala Flash Mafunzo ya Computer kwa wanaoanza kabisa sehemu ya 1, Nianzie wapi kutumia Computer? Jinsi ya Kutumia Microsoft Word Part1 Jifunze jinsi ya KURETOUCH picha kwenye adobe photoshop CC How to Install Windows 10 from a USB Flash Drive Jinsi Ya Kuweka Windows 10 Katika Computer Yako | How to Install Windows 10 in your Pc ------------------------------------------- Asante. #NK #Computer #Training #Course #Jinsi ya #NKCOMPUTERTRAINING



SIMBA WAONDOKA NA KIUNGO WA SFAXIEN/SABABU ZA FADLU DAVIDS KUMNG'OA KIUNGO HUYO FUNDI HIZI HAPA
SIMBA WAONDOKA NA KIUNGO WA SFAXIEN/SABABU ZA FADLU DAVIDS KUMNG'OA KIUNGO HUYO FUNDI HIZI HAPA

Baada ya Simba SC Kucheza na Sfaxien Fadlu Davids ameonekana kuvutiwa na Kiungo fundi Balla Moussa Conte na uwezo wake umefanya Simba Kuanza kumnyatia nyota huyo kwaajili ya msimu ujao Emmanuel Mwayombo anatupitisha katika uchambuzi wa nyota huyo, Ubora wake na jinsi ambavyo atatumika akiwa Simba




Next »


Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Derrick Rose  #Ronaldinho  #Thomas Muller  #Best Ball Controls  #Best Goalkeeper Saves  #LeBron James  #Anthony Davis  #Best Ball Controls  #James Harden  

Popular Users

#KDTrey5  #PMOIndia  #_BAnderson30_  #MileyCyrus  #rogerfederer  #LilTunechi  #b_ryan9  #criscyborg  #AntDavis23  #TheEllenShow  #jadande  #twitter  #TimTebow  #wizkhalifa