Picha ya Messi na  Lamie miaka 19 iliyopita
Picha ya Messi na Lamie miaka 19 iliyopita

Picha iliyopigwa miaka 19 iliyopita na kuonekana ya kawaida wakati huo, leo imegeuka kuwa moja ya picha zinazovutia dunia ya soka. Picha hiyo ilimuonesha Lionel Messi akiwa amembeba mtoto mchanga ambaye sasa ni nyota wa Hispania, Lamine Yamal. Na wawili hao watakutana uso kwa uso katika hatua kubwa zaidi ya soka duniani, fainali ya Kombe la Dunia 2026 Mwandishi wa BBC @ahmedbahajj anaiangazia simulizi hii - - #bbcswahili #soka #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Vozinha: Kipa "mzee" aliyeiteka dunia ya soka.
Vozinha: Kipa "mzee" aliyeiteka dunia ya soka.

Alikuwa shujaa wa Cape Verde. Alionesha kiwango cha hali ya juu na kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi katika sare ya 0-0 dhidi ya Hispania kwenye Kombe la Dunia la FIFA. Mafanikio hayo yalikuwa na maana kubwa zaidi kwa Vozinha kuliko ambavyo wengi wangeweza kufikiria. #bbcswahili #kombeladunia #fifa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



BREAKING: Mchezaji wa Liverpool Diogo Jota na mdogo wake Adre wafariki kwa ajali nchini Hispania
BREAKING: Mchezaji wa Liverpool Diogo Jota na mdogo wake Adre wafariki kwa ajali nchini Hispania

PAKUA SnS Premium kwenye Playstore: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.bluefin.sns.premium PAKUA SnS Premium kwenye App Store: https://apps.apple.com/tz/app/sns-premium/id6742054162



Live Oviedo Cup U14 FC Porto vs Fursan Hispania
Live Oviedo Cup U14 FC Porto vs Fursan Hispania

Live Oviedo Cup U14 FC Porto vs Fursan Hispania Live Full Match Oviedo Cup U14 FC Porto vs Fursan Hispania Follow ...



🔴#Live: MUSONDA APEWA ZAWADI ya MEDALI KUTOKA HISPANIA na KIJANA wa MIAKA 8, BALOZI AFUNGUKA...
🔴#Live: MUSONDA APEWA ZAWADI ya MEDALI KUTOKA HISPANIA na KIJANA wa MIAKA 8, BALOZI AFUNGUKA...

🔴#Live: MUSONDA APEWA ZAWADI ya MEDALI KUTOKA HISPANIA na KIJANA wa MIAKA 8, BALOZI AFUNGUKA... MACHI 13, 2023 mchezaji wa Yanga @kennedy_musonda_jr amepata nafasi ya kupokea zawadi ya medali kutoka kwa mtoto Lucas Gomez Usoz kutoka Spain. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 8 anayeishi mjini Madrid nchini Spain alituma Medali hiyo kupitia ubalozi wa Spain (TZ) na kukabidhiwa rasmi leo na Balozi Jorge Moragas mbele ya Rais wa Klabu yetu @caamil_88 kama sehemu ya kuvutiwa na uchezaji wa @kennedy_musonda_jr baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mechi akiwa anaitumikia klabu yake ya zamani ya Power Dynamos FC ya nchini Zambia. Hafla hyo fupi iliyoandaliwa na balozi ilifanyika kwenye makazi yake eneo la Oyster bay, jijini Dar es salaam. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



TIM ARAB INI BUKAN LEVEL JDT !! FRIENDLY MATCH JDT VS FURSAN HISPANIA 3-0
TIM ARAB INI BUKAN LEVEL JDT !! FRIENDLY MATCH JDT VS FURSAN HISPANIA 3-0

Langganan : https://www.youtube.com/channel/UCRuvyfBoLXTchWZasoR75Rg/join Channel ini mengupas isu isu terkini baik di Indonesia dan di Malaysia Mencintai Indonesia tidak harus membenci Malaysia dan Mencintai Malaysia juga tidak harus membenci Indonesia, cintailah keduanya. Channel ini berisi content Reaction. __________________________________________________________________ Copyright Disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for “fair use” for purposes? such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing, Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use. ------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Playlist "React Videos" https://www.youtube.com/playlist?list=PLM7hAL8q-39htSUNfNxlTzHOQ1RnBPF3l Playlist "Dokumentasi Lagu Pribadi" https://www.youtube.com/playlist?list=PLM7hAL8q-39hz2OaK5_9yMXe9Nvtol6xr Playlist "Kupas Lagu" (After React) https://www.youtube.com/playlist?list=PLM7hAL8q-39jHNu5usbcH2rpVLdKSLJIm Instagram : @Kreativi_Indonesia Twitter : @Vikcry84




Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Best Ball Controls  #Best Football Defending Skills  #LeBron James  #Kawhi Leonard  #Gareth Bale  #Tristan Thompson  #Anthony Davis  #Lionel Messi  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#steveaustinBSR  #MichelleDBeadle  #HEELZiggler  #itsBayleyWWE  #darrenrovell  #DeionSanders  #BadgerMBB  #KingJames  #billsimmons  #serenawilliams  #JLo  #iamsrk  #kevinlove  #ddlovato