Afisa habari wa klabu ya Yanga @alikamwe mbele ya camera za #CloudsDigital ametoa angalizo kwa klabu ya Mamelodi Sundowns kuelekea mchezo wa Robo Fainali utakaochezwa Jumamosi hii! Maoni yenu mnawekaje hapa wadau _________?