ALLY KAMWE AJIBU MAPIGO YA AHMED ALLY/"SAFARI HII HATUTOI KIKI KWA MTU/HATA KWA BAISKELI TUTAKWENDA.
ALLY KAMWE AJIBU MAPIGO YA AHMED ALLY/"SAFARI HII HATUTOI KIKI KWA MTU/HATA KWA BAISKELI TUTAKWENDA.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amezungumza namna Timu inavyoendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Merrikh ya Sudan,utakaochezwa Sept 16,2023 Uwanja wa Pele Kigali Rwanda. Kamwe amesema yapo Mabasi 24 kutoka Mikoa mbalimbali yatakayopeleka Mashabiki wa Yanga Rwanda,yakiwemo Mabasi ya Viongozi ambayo hadi sasa mawili yameshajaa,Basi la Rais wa Timu Eng. Hersi Said na Makamu wake Arafat Ally Haji.

ALLY KAMWE AMPA ZA USO MASAU BWIRE/"KUNA MTU ATAKULA GOLI KUMI/AMTAJA PACOME/SKUDU
ALLY KAMWE AMPA ZA USO MASAU BWIRE/"KUNA MTU ATAKULA GOLI KUMI/AMTAJA PACOME/SKUDU

Leo tarehe 29 Agosti katika dimba la Azam Complex Chamazi inapigwa mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara kati ya mwenyeji Yanga dhidi JKT Tanzania majira ya saa 1 usiku Mpenja Tv tupo Chamazi kuhakikisha unayapata matukio yote muhimu kuhusiana na mechi hii

ALLY KAMWE AMWAGIKA/"BAADA YA MAX DAY ITAKUJA PACOME DAY AU KI DAY/AHMED ALLY AMENITAFUTA/CHOMEKEA
ALLY KAMWE AMWAGIKA/"BAADA YA MAX DAY ITAKUJA PACOME DAY AU KI DAY/AHMED ALLY AMENITAFUTA/CHOMEKEA

Leo 26 Agosti,Yanga SC ikiwa nyumbani Uwanja wa Azam Complex Chamazi inamkaribisha ASAS kutoka Djibouti kwenye Mechi ya Marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na Faida ya Bao 2 walizopata kwenye Mechi ya kwanza . Mpenja Tv tuko Mubashara kutokea Azam Complex hapa Chamazi kwaajili ya kukuhabarisha kila tukio linalojiri..

ALLY KAMWE: "KOCHA AMETUOMBA MSAMAHA KWA USHINDI MDOGO/KUNA MTU ATAPIGWA 10/TUMEZINDUA LIGI"
ALLY KAMWE: "KOCHA AMETUOMBA MSAMAHA KWA USHINDI MDOGO/KUNA MTU ATAPIGWA 10/TUMEZINDUA LIGI"

Leo Agosti 23 kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Bingwa Mtetezi wa Ligi Kuu ya NBC Yanga Sc inamkaribisha KMC Fc Majira ya Saa 1:00 Usiku. Mpenja Tv tayari tumetia Timu kwaajili ya kukuletea Matukio yote kuhusu Mechi hiyo…

KIZIMKAZI YAWAKUTANISHA ALLY KAMWE NA AHMED ALLY/WATUPIANA VIJEMBE KWENYE BOTI/ZANZIBAR TUNAKUJA
KIZIMKAZI YAWAKUTANISHA ALLY KAMWE NA AHMED ALLY/WATUPIANA VIJEMBE KWENYE BOTI/ZANZIBAR TUNAKUJA

Leo Tarehe 22 Agosti Mpenja Tv imeanza safari kuelekea Kisiwani Zanzibar kwaajili ya Tukio la ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi linalofanyika kuanzia Tarehe 25 Kwenye Safari hii imewakutanisha Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc pamoja na Yanga Sc Ahmed Ally pamoja na Ally Kamwe

ALLY KAMWE AMPA JINA JIPYA PACOME/"PROFESA WA MPIRA/UKUTA WETU HAUTIKISIKI/POLENI SANA AZAM FC"
ALLY KAMWE AMPA JINA JIPYA PACOME/"PROFESA WA MPIRA/UKUTA WETU HAUTIKISIKI/POLENI SANA AZAM FC"

Leo Tarehe 20 Agosti,Simba Sc ikiwa Nyumbani inamkaribisha Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es salaam Majira ya Saa 10:00 Jioni ikiwa ni Ligi Kuu ya NBC. Mpenja Tv tayari tuko Mubashara kukuletea Mfululizo wa Mechi hiyo…

ALLY KAMWE AMLIPUA FABRICE NGOMA/"MAX SIJUI ANACHEZA NAMBA NGAPI/AUCHO KIBOKO YAKE/CHAMAZI KITAWAKA"
ALLY KAMWE AMLIPUA FABRICE NGOMA/"MAX SIJUI ANACHEZA NAMBA NGAPI/AUCHO KIBOKO YAKE/CHAMAZI KITAWAKA"

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza mipango na Mikakati yao kuelekea mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASAS ya Djibouti,utakaochezwa August 20,2023 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi,Saa 11 jioni.

« Previous Next »

Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #David Silva  #LeBron James  #Shaquille O'Neal  #Gareth Bale  #Manuel Neuer  #Sergio Aguero  #Football Skills  #Counter Attack Goals Football  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#fauxpelini  #MariaSharapova  #jimmyfallon  #WWE  #Oprah  #JayBilas  #JLo  #MikePereira  #JJWatt  #billsimmons  #RobbieSavage8  #SteveNash  #JoelEmbiid  #ArianFoster  #KDTrey5