🛑LIVE:SIMBA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA MSIMU HUU, SIMBA MPYA BALAA
🛑LIVE:SIMBA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA MSIMU HUU, SIMBA MPYA BALAA

#Simbasc #wachezajiwapyasimbasc #Ahmedally WACHEZAJI WAPYA WALIOSAJILIWA SIMBA MSIMU HUU 2026/2027 Waliosajiliwa 1. Kaletso Makgalwa Winga kutoka Shekukune 2.Serge Badjo kutoka Ivory Coast Mlinzi wa kati Sababu ni Rushine injury aliyopata fainal dhidi ya Azam CRDB imemfanya atachelewa kurejea uwanjani 3. Ibraheem Jabaar kiungo kutoka Stellenbosch alifanya kazi na Steve Berker 4. Nathaniel chilambo kutoka Azam FC ameshatambulishwa ndiye mrithi wa Kapombe Simba 5. Kelvin Nashon kutoka Singida BS ila alikuwa Kwa Mkopo Pamba Jiji 6.Bakari Msimu kutoka Coastal Union 7. Ismail Mgunda Mshambuliaji kutoka Mashujaa 8.Seleman Mwalimu imeshindikana kusajiliwa mazima kutoka wydad kutokana na wydad kutaka mpunga mrefu ila Simba wamekubaliwa kwenye Mkopo wa msimu mzima hivyo Seleman Mwalimu atasalia tena Simba Kwa Mkopo . Wanatazamwa kwenye kagame cup wakikidhi wanasajiliwa mazima 9. Ibrahim Doumbia Mshambuliaji raia Wa Mali, Ibrahim Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kuongeza miaka miwili baadae katika klabu ya Simba Sc ya Tanzania. Doumbia alikuwa mfungaji Bora wa Ligi ya Mali Msimu ulopita akiwa na mabao 17. Simba hawataki kucheza kamali ya kumpa mkataba wa muda mrefu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, wakihofia akifeli na gharama za kuvunja mkataba. Doumbia msimu uliopita:- 🏆 Mfungaji bora wa Msimu 🏆 Mchezaji bora wa Msimu 🏆 Mchezo bora chipukizi wa Msimu. 🏆 Alikuwepo kwenye kikosi Bora cha msimu. DEAL OFF Ramadhan Chobwedo Winga kutoka TRA United amefeli vipimo vya afya Simba Dili lake limekufa rasmi Mpaka sasa Simba Sports Club imeachana na wachezaji wengi kuelekea msimu ujao. Je ni nani hakustahili kupewa Gudubaiii hapa utaniambia kwenye uwanja wa Comment hapo chini. 1. Chamou Karaboue. 2. Naby Camara. 3. Edwin Balua. 4.Joshua Mutale. 5. Awesu Awesu. 6. Omari Omari. 7. Moussa Camara. 8. Mzamiru Yassin 9. Ladack Chasambi 10. Jonathan Sowah 11. Mohamed Bajaber 12. Salehe Karabaka Mkopo Pamba Jiji 13. Valentino Mashaka Mkopo JKT Tanzania



UGOMVI MKUBWA WAIBUKA KATI YA GODI YANGA NA SHABIKI WA SIMBA KISA PACOME KUANZIA BENJI"WEWE MNAFIKI'
UGOMVI MKUBWA WAIBUKA KATI YA GODI YANGA NA SHABIKI WA SIMBA KISA PACOME KUANZIA BENJI"WEWE MNAFIKI'

©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA --------------------------------------------------------------------------------- JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM APA https://t.me/realmediatv JIUNGE NASI INSTAGRAM realmedia_online JIUNGE NASI FACEBOOK REAL MEDIA KUTAFUTA AJIRA TEMBELEA WEBSITE www.job364.com REPORT TO US If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest. COPYRIGHT VIOLATION For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us Welcome to REAL in the right place, by accessing Entertainment, Fashion and Sports news from within and outside the borders of Tanzania, our goal is to provide you with reliable and accurate information. Please click the SUBSCRIBE button to become a family member of this channel KANUNI Real Media ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti matukio ya Michezo, Burudani, Afya na Siasa na pia tuanripoti matukio yanayowahusu watu mashuhuri katika michezo,Burudani, muziki, filamu,vibwenzo{comedy }, mitindo ya maisha na masuala ya kijamii. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: 1. Kuripoti habari za ukweli 2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu 3. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote 4. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake 2.Real Media ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali 3. ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote 4. ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni



🔴#live Jonas Mkude alichosema Baada ya Mechi awajibu Simba Kwa Methali Ngumu
🔴#live Jonas Mkude alichosema Baada ya Mechi awajibu Simba Kwa Methali Ngumu

Habari mtazamaji wa Mashwishwi tv aksante kwa kutuchagua sisi tunakukumbusha tu Mashwishwi tv tunatoa huduma ya kufunga CCTV CAMERAS kwa bei poa sana Tupigie No #0659134803 follow instagram @mashwishwi_tz YOUTUBE #MASHWISHWITV #NBCPremierLeague #SokaLetuBambam #SisiNiSoka #NBCPremierLeague #SokaLetuBambam #SisiNiSoka #CAFWCL2022#BayelsaqueensVsSimbaqueens#SimbaqueensVsBayelsaQueens#Nigeria#Tanzania #CafWomensChampionsLeague2022 #LigiYaMabingwaAfrikaWanawake #CAFWomen #SimbaQueens #MamelodiSundowns @katangaommy #KAGYAN#NBCPL#azam#kagerasugarfc#yangasc#yangaVsKagerasugar#KagerasugarVsYanga#ligikuu#ccmkirumba#meckymaxime#kochawakagerasugar #Hashtags#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam #KageraSugar #YangaSC #KageraYanga #Standing #Msimamo #LeagueTable #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SokaLetuBambam #SisiNiSoka #Qatar2022#FreindlyMatch#Qatar2022worldCup#WorldCup2022 #FIFAWorldCup#FiFa2022 #MadawayaKulevya#KochawaSimba#kochawamakipawasimba#drugs#simba#dcea#dsm#tanzania #Standing #Msimamo#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam #YangaSC #SingidaBigStars #YangaSingidaBS #LeagueTable#YangaSC #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #RIPGogoPriscilla#RIPGOGOSITIENEI#Kenya#RIPTwitter#offshorewind#MiningWithPrinciples#BakhresaGroup#FridayNight #KwaheriTwitter#renewables ,#kenya news#,ktn news #kenya,#citizen tv #kenya,#gt_positive_curiosity,#nairobi,#gv_safe,#ntv kenya,#gs_family,#gs_health,#ktn kenya,#gt_positive,#gs_education,#citizen kenya,#elderly people,#gs_health_misc,#gs_family_elderly,#gs_education_misc,#gt_positive_surprise #Afrika#Qatar2022 #Kombe la Dunia 2022 #Kombe la Dunia #Qatar #GSM#GhalibsaidmohamedGSM#yangasc#gsmtanzania#viral#wedding#marriage#love#timuyawananchiLIVE #AzamSports1HD #hattrick#YangaSC #SingidaBigStars #YangaSingidaBS #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam #SimbaSC #RuvuShooting #RuvuSimba #Mashwishwitv#Thestorybook#hot#viral#maajabu #JacobZuma#AfrikaKusini#southafrica#Jacobzumareturntojail#jailjacobzuma #simbasc#simba#kikosichasimba#airportdaressalaam#sadiokanoute#ahmedyally#mbeyacityvssimba#ligikuuyanbcpremierleague#usajilisimba#johnbocco#SimbaVsmbeyacity #YangaSc#yanga#dodomajijivsyangasc#yangavsdodomajiji#nbcpremierleague#azizki#morrison#makambo#faridmussa#yangaleo#uzimpyawayanga#ligikuunbcpl #zuchu#jux#nidhibiti#kingofheartsalbum#mbosso#wcb#theafricanboybrand#jumajux #Arusha#Ngorongoro#Loliondo#Humanrights#Socialjustice#Accountability#wamasai#masaitribe#mahakama#tanzania #SwedenMakerere@SwedeninUG @Makerere#Uganda#makerereuniversty#humanrights#chuochamakerereuganda #TopScorer #WafungajiBora #VinaraWamabao #LigiKuuYaNBC #NBCPremierLeague #NBCPLUpdates #NBCPL #AzamSports1HD #Governance#ServiceDelivery#Nishati#Tanesco#Uwajibikaji#waziriwanishati#Tanesko#umeme#tanzania#umemekukatika#electricity#hotgirl#viral#music #Nigeri#ajaliyamabasinigeria#caraccide #Aviation accidents and incidents #Airtravel #Texas #Airshows #Dallas #Afya#Saratani#Australia#HealthTips#music#diamond#instagram#wasafi#how#yanga#simba #Usajili#Ulaya#Tetesizasokalaulaya#Bayernmunich#intermilan#Psg#ManchesterUnited#Bundesliga#Messi#HarryKane#Tam himyAbraham##bbcswahili #Marekani#JakeFlint#Oklahoma#weding#DalasTexas#globaltv#wasafitv#thestorybookwasafi #Zambia#EdgerLungu#HakaindeHichilema#GulfsreamAeroplane650#ZambiaAirForce#Aviation accidents and incidents #Air travel



Magoli na mikwaju ya penati | Team Kibwana 2-2 Team Job (Pen: 2-4) |  Mechi ya Hisani 30/06/2023
Magoli na mikwaju ya penati | Team Kibwana 2-2 Team Job (Pen: 2-4) | Mechi ya Hisani 30/06/2023

Team Job ambayo iko chini ya beki Dickson Job wa Yanga imeibuka na ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Team Kibwana iliyo chini ya Kibwana Shomary baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida, ukiwa ni mchezo wa hisani kusaidia afya ya uzazi ikienda kwa jina la #WapeTabasamu . Yamefungwa magoli manne na wachezjazi wawili katika muda wa kawaida.... Wachezaji hao ni Abdul Suleiman Sopu akiifungia Team Kibwana magoli mawili dakika ya 23 na 50 huku Saimon Msuva akichomoa magoli yote mawili dakika ya 74 na 80. Mechi imepigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Shuhudia hapa magoli yote na mikwaju ya penati.



#UCHAMBUZI; PANGA LA SIMBA KWA KAGERE, SAKHO NA BALAA LA MANZOKI
#UCHAMBUZI; PANGA LA SIMBA KWA KAGERE, SAKHO NA BALAA LA MANZOKI

Mchambuzi Khalid Chukuchuku akielezea kwa kina masuala mbalimbali yahusuyo usajili wa Simba SC msimu huu. #Uchambuzi #Chukuchuku




Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Golden State Warriors  #Boston Celtics  #Goalkeeper Saves  #Stephen Curry  #Best Ball Controls  #Shaquille O'Neal  #New York Knicks  #Gareth Bale  #LeBron James  

Popular Users

#SrBachchan  #JoelEmbiid  #strombone1  #OleksiakPenny  #obj  #sportspickle  #RSherman_25  #billsimmons  #RealSkipBayless  #RobGronkowski  #imVkohli  #BBCBreaking  #DeAndre  #themichaelowen  #BaileyLAKings