#CecafaKagameCup2018 Magoli ya Ditram Nchimbi na Bruce Kangwa yanaipeleka Azam FC fainali kwa mara ya pili mfululizo. FT'- Gor Mahia 0-2 Azam FC Powered by #AfricanFruti from Bakhresa Group of Companies