KUMBE SIMBA ILITOLEWA KIMAKOSA CAF KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Mohamed Abdallah ‘Bares’ amesema kuwa kikosi cha Simba kimetolewa kwa makosa ya wachezaji kushindwa kutumia nafasi walizopata...