Content removal request!


Alichoandika Haji Manara Baada Ya Simba Kufungwa Na JKT Tanzania, Mashabiki Watupa Lawama Kwa Sven

Siku Ya Jana Simba ilipoteza Mchezo Dhidi Ya JKT Tanzania, Kuna Mambo Kadhaa Ambao Yalileta Taharuki Katika Mchezo Huo. Ikiwa Sambamba Na Mwamuzi Kukataa Goli Halali La Simba, Lakini Mashabiki Kutupa Lawama Kwa Kocha Sven #SimbaSc #Manara #JKTTanzania