Content removal request!


COASTAL VS JKT: Je, Coastal Union wamenyimwa goli au ilikuwa offside? - Uchambuzi

Katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa leo kati ya Coastal Unioni dhidi ya JKT Tanzania , kuna goli walipata Coastal lakini iliamuliwa kuwa ni offside. Osman Kazi anatoa ufafanuzi kuhusu tukio hilo. Kwenye mchezo huo Coastal wameshinda bao 1-0. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz